Sisi ni mabingwa wa kufunga AC karibu tukuhudumie

Sisi ni mabingwa wa kufunga AC karibu tukuhudumie

Hakuna jibu la moja kwa moja sababu inategemea na eneo ac inakofungwa linaukubwa gani, hiyo ac itakua inawashwa 24/7 au mda mwingine itazimwa,

Kama unahitaji wa AC fundi atakuja kufanya survey ya eneo ndo ataweza kukuambia ni umeme kiasi gani utatumika unaweza ambiwa hivi alafu baadae ukawa zaidi uliyoambiwa ukatutuhumu tumekudanganya
Hivi kama nimetu dika ac ya btu 18 nataka kuweka ya 24 nabadilisha lile panga boi la nje au system nzima?
 
A8ACCC9E-0182-41C6-9C9D-F1D142C0FF74.jpeg
 
TUNAFUNGA AINA ZOTE ZA AIR CONDITIONIER NA KUZIFANYIA SERVICES
  • Wall mounted air conditioner
  • Ceiling Cassette air conditioner
  • Floor mounted air conditioner
  • Window air conditioners
  • Ceiling suspended air conditioner
UNAFUNGIWA NDO UNALIPA
 
Nauliza, AC inafanyaje kazi, inaposukuma hewa safi kuingia ndani, huwa inavuta hewa kutoka ndani na kuitoa nje?.
 
kumbe kuna aina nyingi hivi za AC maana tumezoea ile ya nje juu ukutani..sasa unaonaje ukatusaidia kwa picha na maelezo jinsi zinavyofanya kazi hizo AC ulizotaja za Ceilling suspended ac,window ac,wall mounted ac,na floor mounted ac..na katika ac zote hizo ipi nzuri zaidi kuweka ndani ya nyumba kubwa ya vyumba vitatu na hivyo vyumba vyote vitatu hadi jikoni kupata ubaridi kwa pamoja kupitia hio ac moja.!
 
Nauliza, AC inafanyaje kazi, inaposukuma hewa safi kuingia ndani, huwa inavuta hewa kutoka ndani na kuitoa nje?.
A.C haivuti wala kusukuma hewa kutoka ndani/nje.

Kazi yake ni kupooza hewa iliopo ndani. Yaani hewa iliopo ndani hiyo hiyo inazungushwa ndani ya chumba, hakuna kutoka nje, wala hakuna hewa nyingine kuingia ndani.

Ndio maana huwa tunafunga milango na madirisha tunapowasha A.C.

Kwa kifupi A.C haifanyi ventilation, bali inafanya cooling.
 
Karibu tukuhudumie
Floor standing air conditioner zipo
View attachment 3217298
sasa mkuu mbali na picha kama hivi itakuwa vizuri sana kama ungeweka na maelezo ya sifa zake,ufanyaji wake wa kazi ina cover eneo la ukubwa gani,inasetiwa vp..kupost tu picha bila maelezo kulhusu haileti maana kwenye matangazo ya biashara mtandaoni labda kwa wale ambao tayari wanaifahamu hiyo bidhaa ila kwa wale wageni wa bidhaa hiyo maelezo ya bidhaa yatafungua ufahamu wao wa kuipenda na kuwashawishi kuinunua..kwani kundi hili wengi kununua bidhaa wakiwa wanajua sifa zake walau wana idea a,b,c kuhusu hio bidhaa..ila ww unatunyima info kuhusu bidhaa husika zaidi ya picha tu..
 
A.C haivuti wala kusukuma hewa kutoka ndani/nje.

Kazi yake ni kupooza hewa iliopo ndani. Yaani hewa iliopo ndani hiyo hiyo inazungushwa ndani ya chumba, hakuna kutoka nje, wala hakuna hewa nyingine kuingia ndani.

Ndio maana huwa tunafunga milango na madirisha tunapowasha A.C.

Kwa kifupi A.C haifanyi ventilation, bali inafanya cooling.
Sasa kile kipande kinachokaaga nje kazi yake ni nini? Yaani kwanin AC isikae tu kama Friji ikawa na unit moja tu ndani kama kazi yake ni kuzungusha hewa hewa hiyo hiyo ya ndani??
 
Back
Top Bottom