House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Nimesoma mpaka nikacheka, Katoto Kazuri acha kukasirika. Fahamu hivi, anayekuudhi mara nyingi huwa hapati maumivu kama anayeumizwa. Mbona unautesa moyo wako wakati hata wanakuzungumza hujawahi kuwaona hata wewe huwafaham kwa sura zao?
Mpaka nimekuonea huruma ulivofura, wewe kula raha, ila zile kwa ustaarabu huku ukitafuta neema na rehema kwa Mungu. Tafuta kiasi chako kinachokutosha na uwe na space inayokutosha, ya humu yapuuze tu dada