Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa

Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa

Maisha ni kuwa na hela nakujipanga usiaibike jamii forum nisehemu ya kupotezaea muda unakuta humu watu wanamajumba wanamagari na wewe unanini muda unaenda mmoja kumi na moja 31 na 41 na 51 kwisha kazi ya kuwa baba
Ni kweli jf si sehemu yetu katika sehemu zetu za ajira. Ni sehemu ya kutafuta furaha,kuchangamsha akili,kubalishana mawazo pia. Lakini nje ya jf kila mtu anapambana kuhakikisha anajikimu kimaisha. Pamoja na hayo mtu anatakiwa ahakikishe ana miliki nyumba yake ili ajihifadh na familia yake lakini pia kuna kusomesha watoto na kuitunza familia. Fanya uolewe kama utampata mtu sahihi utayaona haya kwa matendo na msukumo wake unakuwa mkubwa tofauti na ukiwa single.
 
Kwani bikira imo? Au uliichana kwenye kucheza rede.
Nauliza tu
 
Maandiko yapi unazungumzia hapa, sisi tuna ruksa ya hadi wanawake wa 4.
Mimi ni mkristo na ninazungumzia maandiko ya kikristo najua kuwa waislam mmeruhusiwa wake wanne ila je huwa mnaoa hao wanawake wanne kweli na je mkioa hao wanawake wanne ndiyo hamchepuki kabisa??
 
Back
Top Bottom