katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
- #81
Lipi??katoto kazuri emu tumalize lile swala tulilolianza umri hautusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipi??katoto kazuri emu tumalize lile swala tulilolianza umri hautusubiri
Kwa hiyo unaniruka mbele ya kadamnasiLipi??
Njinjo na wengine sijawashika ila kila mtu aki anamaisha yakeNan amekuita malaya mamaa!! Mtaje ili asirudie tena
Toa screen shotsKwa hiyo unaniruka mbele ya kadamnasi
Nakuja ndichi nikukumbushe
Mamchele kwa kuku nyomi sio mpangoToa screen shots
Ni kweli jf si sehemu yetu katika sehemu zetu za ajira. Ni sehemu ya kutafuta furaha,kuchangamsha akili,kubalishana mawazo pia. Lakini nje ya jf kila mtu anapambana kuhakikisha anajikimu kimaisha. Pamoja na hayo mtu anatakiwa ahakikishe ana miliki nyumba yake ili ajihifadh na familia yake lakini pia kuna kusomesha watoto na kuitunza familia. Fanya uolewe kama utampata mtu sahihi utayaona haya kwa matendo na msukumo wake unakuwa mkubwa tofauti na ukiwa single.Maisha ni kuwa na hela nakujipanga usiaibike jamii forum nisehemu ya kupotezaea muda unakuta humu watu wanamajumba wanamagari na wewe unanini muda unaenda mmoja kumi na moja 31 na 41 na 51 kwisha kazi ya kuwa baba
Sio bure kuna kitu wanatakaNjinjo na wengine sijawashika ila kila mtu aki anamaisha yake
Mimi ni mkristo na ninazungumzia maandiko ya kikristo najua kuwa waislam mmeruhusiwa wake wanne ila je huwa mnaoa hao wanawake wanne kweli na je mkioa hao wanawake wanne ndiyo hamchepuki kabisa??Maandiko yapi unazungumzia hapa, sisi tuna ruksa ya hadi wanawake wa 4.