Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa

Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa

Nimesoma mpaka nikacheka, Katoto Kazuri acha kukasirika. Fahamu hivi, anayekuudhi mara nyingi huwa hapati maumivu kama anayeumizwa. Mbona unautesa moyo wako wakati hata wanakuzungumza hujawahi kuwaona hata wewe huwafaham kwa sura zao?

Mpaka nimekuonea huruma ulivofura, wewe kula raha, ila zile kwa ustaarabu huku ukitafuta neema na rehema kwa Mungu. Tafuta kiasi chako kinachokutosha na uwe na space inayokutosha, ya humu yapuuze tu dada
 
Nimesoma mpaka nikacheka, Katoto Kazuri acha kukasirika. Fahamu hivi, anayekuudhi mara nyingi huwa hapati maumivu kama anayeumizwa. Mbona unautesa moyo wako wakati hata wanakuzungumza hujawahi kuwaona hata wewe huwafaham kwa sura zao?

Mpaka nimekuonea huruma ulivofura, wewe kula raha, ila zile kwa ustaarabu huku ukitafuta neema na rehema kwa Mungu. Tafta kiasi chaki na uwe na space inayokutosha, ya humu yapuuze tu dada
Naomba unicheke tena
 
Mtoa uzi Kwanza marinda unayo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo katoto unaweka Sana vitu moyoni..umetukanwa humu potezea sio lazima ujibu..kwani ukikaa kimya kunakitu kitapungua mwilini mwako?! ..jifunze kuishi na kuachilia mambo hasa haya yasiyo msingi

Binafsi hata ukinitusi ndio kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tu
 
kwenye hili povu ni mwendo wa kuchochea tu, hamna namna
 
Back
Top Bottom