Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa

 
Naomba unicheke tena
 
Mtoa uzi Kwanza marinda unayo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo katoto unaweka Sana vitu moyoni..umetukanwa humu potezea sio lazima ujibu..kwani ukikaa kimya kunakitu kitapungua mwilini mwako?! ..jifunze kuishi na kuachilia mambo hasa haya yasiyo msingi

Binafsi hata ukinitusi ndio kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tu
 
Usiwasikilize hao..

I love you crazy katoto 🙂🙂
 
Kila ke ni malaya kwa bwana/mume aliyenae vijimaneno vidogovidogo hivi visikuaribie siku besty achana nao
 
kwenye hili povu ni mwendo wa kuchochea tu, hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…