Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa

Malaya ni Malaya tu katoto. Huwezi kugawa papuchi kama vile huna akili nzuri halafu utegemee kutoitwa Malaya.
 
Hayo maandiko mbona mitume kibao walikuwa na wake wengi, hebu toa uchizi hapa. Mwanaume kqzaliwa kwa ajili ya kugegeda wanawake wengi hiyo ni nature huwezi kuipinga.
Hayo maandiko umesoma vizuri? Unajua nini kiliwakuta hao mitume baada ya kuwa na wanawake wengi na je unadhani wao kufanya hivyo ndiyo maana yake Mungu ameruhusu? Ukiwa malaya lazima upingane na maandiko tu! Hebu kasome maandiko vizuri acha kuropoka usiyoyajua!
 
Nimeona kuna mmoja huko juu kashawaka, kama kuna mtu kaumbwa na nature basi ndiyo aje aseme hivyo.
Wale wanaodai nature haiwaruhusu kuwa na mtu mmoja watakuja kukukashfu hapa. Nimekuelewa sana mkuu.
 
Nina mfumo dume haswa aise, sipelekeshwi na mwanamke hata siku moja ila swala la umalaya siliafiki hata kidogo kwa wote wanaume na wanawake na ndivyo maandiko yanavyosema ni uamuzi tu kuyafuata au kuyaacha.
Maboya ambao Mnawa control kama huyu ndo mnawasifia
 
Ila kila mtu anaandika acheni umalaya kama katoto sijui nani nani ni malaya mwanzoni unapuuzia sasa nimechoka aisee inabidi niulize why kwa maana tokea nijiunge jf sijawahi muona hata mmoja wao halafu wakikudis like this sio fresh lazima niumie.
Pole mtoto mzuri, wapuuze ufanye yako
 
Maandiko yapi unazungumzia hapa, sisi tuna ruksa ya hadi wanawake wa 4.
 
KUMBE WEWE SIO MALAYA? LAKINI MWANDIKO WAKO HUO UNAKUUMBUA.
 
KUMBE WEWE SIO MALAYA? LAKINI MWANDIKO WAKO HUO UNAKUUMBUA.
Malizeni bando tuone kama humu nani atawapa kama mshindi wakuongea humu hulishwi huvishwi na hupewi kodi .
Shauri yako maisha yanaenda usiseme sijakuambia
 
Umalaya ni tabia ya mtu kama wewe hauko ivo basi tulia unavozidi kujieleza ndivyo watu wanahisi uko ivo
 
Malizeni bando tuone kama humu nani atawapa kama mshindi wakuongea humu hulishwi huvishwi na hupewi kodi .
Shauri yako maisha yanaenda usiseme sijakuambia
Sawa mama nashukuru kwa hayo machache uliyoyanena,lakini malaya anajijua mwenyewe kwenye nafsi yake. Kama umeamua kukanusha tuhuma ni jambo la busara na mawazo nitayaheshimu mpaka pale nitakapoona maneno yako yameenda kinyume na matendo yako.
 

Kula bata Katoto
 
Kula bata Katoto
Na ndio niko nyama festival nice sana naenjoy wanasema wako jf sijawaonaga na wanaonionaga watasema nini waache waseme humu na vibando vya kukopa kwa mangi na sisi tunakula bata kama nini.
Hata hawapewi allowance licha mshahara.
 
Sawa mama nashukuru kwa hayo machache uliyoyanena,lakini malaya anajijua mwenyewe kwenye nafsi yake. Kama umeamua kukanusha tuhuma ni jambo la busara na mawazo nitayaheshimu mpaka pale nitakapoona maneno yako yameenda kinyume na matendo yako.
Maisha ni kuwa na hela nakujipanga usiaibike jamii forum nisehemu ya kupotezaea muda unakuta humu watu wanamajumba wanamagari na wewe unanini muda unaenda mmoja kumi na moja 31 na 41 na 51 kwisha kazi ya kuwa baba
 
Sasa na miaka 7 sina mwanaume ila maneno yangu naonekana mi malaya nisawa shida iko wapi .??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…