chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Malaya ni Malaya tu katoto. Huwezi kugawa papuchi kama vile huna akili nzuri halafu utegemee kutoitwa Malaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maandiko umesoma vizuri? Unajua nini kiliwakuta hao mitume baada ya kuwa na wanawake wengi na je unadhani wao kufanya hivyo ndiyo maana yake Mungu ameruhusu? Ukiwa malaya lazima upingane na maandiko tu! Hebu kasome maandiko vizuri acha kuropoka usiyoyajua!Hayo maandiko mbona mitume kibao walikuwa na wake wengi, hebu toa uchizi hapa. Mwanaume kqzaliwa kwa ajili ya kugegeda wanawake wengi hiyo ni nature huwezi kuipinga.
Wale wanaodai nature haiwaruhusu kuwa na mtu mmoja watakuja kukukashfu hapa. Nimekuelewa sana mkuu.
Najua mama!Unajua ni ukweli inauma kila mtu??
Maboya ambao Mnawa control kama huyu ndo mnawasifia
Kwa hiyo mimi nagawa humu papuchiMalaya ni Malaya tu katoto. Huwezi kugawa papuchi kama vile huna akili nzuri halafu utegemee kutoitwa Malaya.
Sijui je wewe unayo??Mtoa uzi Kwanza marinda unayo [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mtoto mzuri, wapuuze ufanye yakoIla kila mtu anaandika acheni umalaya kama katoto sijui nani nani ni malaya mwanzoni unapuuzia sasa nimechoka aisee inabidi niulize why kwa maana tokea nijiunge jf sijawahi muona hata mmoja wao halafu wakikudis like this sio fresh lazima niumie.
Maandiko yapi unazungumzia hapa, sisi tuna ruksa ya hadi wanawake wa 4.Halafu ninachoshangaa mimi ni mwanamke kuwa na wanaume wengi anaonekana malaya ila mwanaume kuwa na wanawake wengi anaonekana kidume wakati wanaume wanafanya na wanawake hao hao halafu hivi kwanza kwanini watu mnaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii?
Yaani mngeishi kwa kufuata maandiko msingekuwa na mawazo kabisa na mngegundua kwamba hakuna cha malaya wala kidume wote wana dhambi ya uzinzi na uasherati na wote wanakosea hakuna cha jinsia wala maumbile aliyetuumba alishatoa amri na sheria zake kuwa ni dhambi hivyo wanaofanya wafanye huku wakijua kuwa ni dhambi na siyo kutafuta sababu za kuhalalisha hizo dhambi na kusingizia kuwa eti Mungu ameruhusu!
KUMBE WEWE SIO MALAYA? LAKINI MWANDIKO WAKO HUO UNAKUUMBUA.Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa .
Sio mtu atupangie kula raha eti mtu anakuita malaya kisa unajiachia upendavyo .
Dah achani matani maisha nikujiachia sio kusikiliza watu .
Eti kafanya hivi au vile waache masingle ladies mnataka tuishi kama mmetulipia mahari mtukome .
Umalaya mmetushika kwenye danguro lipi ??
Hebu wacheni watu walio masingle wajinafasi .
Sasa ni hivi mkae kujua moja mbili hadi kumi na mbili.
Sio wadada wote wanapenda kukaba watu wahumu wengine wanapenda kujiachia couze wapo single.
KILA MTU HUMU ACHENI UMALAYA KAMA KATOTO KAZURI NA WENGINE WEWE UMEJUAJE MI MALAYA KAMA SIO NYIE MNAONGOZA KWA UKAHABA MMEFUZU UMALAYA MIMI SIPENDI HIZO TABIA ZA KINAFIKI.
Malizeni bando tuone kama humu nani atawapa kama mshindi wakuongea humu hulishwi huvishwi na hupewi kodi .KUMBE WEWE SIO MALAYA? LAKINI MWANDIKO WAKO HUO UNAKUUMBUA.
Sawa mama nashukuru kwa hayo machache uliyoyanena,lakini malaya anajijua mwenyewe kwenye nafsi yake. Kama umeamua kukanusha tuhuma ni jambo la busara na mawazo nitayaheshimu mpaka pale nitakapoona maneno yako yameenda kinyume na matendo yako.Malizeni bando tuone kama humu nani atawapa kama mshindi wakuongea humu hulishwi huvishwi na hupewi kodi .
Shauri yako maisha yanaenda usiseme sijakuambia
Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa .
Sio mtu atupangie kula raha eti mtu anakuita malaya kisa unajiachia upendavyo .
Dah achani matani maisha nikujiachia sio kusikiliza watu .
Eti kafanya hivi au vile waache masingle ladies mnataka tuishi kama mmetulipia mahari mtukome .
Umalaya mmetushika kwenye danguro lipi ??
Hebu wacheni watu walio masingle wajinafasi .
Sasa ni hivi mkae kujua moja mbili hadi kumi na mbili.
Sio wadada wote wanapenda kukaba watu wahumu wengine wanapenda kujiachia couze wapo single.
KILA MTU HUMU ACHENI UMALAYA KAMA KATOTO KAZURI NA WENGINE WEWE UMEJUAJE MI MALAYA KAMA SIO NYIE MNAONGOZA KWA UKAHABA MMEFUZU UMALAYA MIMI SIPENDI HIZO TABIA ZA KINAFIKI.
Na ndio niko nyama festival nice sana naenjoy wanasema wako jf sijawaonaga na wanaonionaga watasema nini waache waseme humu na vibando vya kukopa kwa mangi na sisi tunakula bata kama nini.Kula bata Katoto
Maisha ni kuwa na hela nakujipanga usiaibike jamii forum nisehemu ya kupotezaea muda unakuta humu watu wanamajumba wanamagari na wewe unanini muda unaenda mmoja kumi na moja 31 na 41 na 51 kwisha kazi ya kuwa babaSawa mama nashukuru kwa hayo machache uliyoyanena,lakini malaya anajijua mwenyewe kwenye nafsi yake. Kama umeamua kukanusha tuhuma ni jambo la busara na mawazo nitayaheshimu mpaka pale nitakapoona maneno yako yameenda kinyume na matendo yako.
Sasa na miaka 7 sina mwanaume ila maneno yangu naonekana mi malaya nisawa shida iko wapi .??Halafu ninachoshangaa mimi ni mwanamke kuwa na wanaume wengi anaonekana malaya ila mwanaume kuwa na wanawake wengi anaonekana kidume wakati wanaume wanafanya na wanawake hao hao halafu hivi kwanza kwanini watu mnaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii?