Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa .
Sio mtu atupangie kula raha eti mtu anakuita malaya kisa unajiachia upendavyo .
Dah achani matani maisha nikujiachia sio kusikiliza watu .
Eti kafanya hivi au vile waache masingle ladies mnataka tuishi kama mmetulipia mahari mtukome .
Umalaya mmetushika kwenye danguro lipi ??
Hebu wacheni watu walio masingle wajinafasi .
Sasa ni hivi mkae kujua moja mbili hadi kumi na mbili.
Sio wadada wote wanapenda kukaba watu wahumu wengine wanapenda kujiachia couze wapo single.
KILA MTU HUMU ACHENI UMALAYA KAMA KATOTO KAZURI NA WENGINE WEWE UMEJUAJE MI MALAYA KAMA SIO NYIE MNAONGOZA KWA UKAHABA MMEFUZU UMALAYA MIMI SIPENDI HIZO TABIA ZA KINAFIKI.
 
Nini tena kimetokea toto!

Usipende kuweka moyoni maneno ya kuambiwa mdogo wangu, huyo anayekuletea ndo mbaya na mchonganishi! Wewe yasikilize yaache yapite mamaa. Najua huwa yanaumiza ila kama hauko hivyo unajijua wewe na nafsi yako!

Furaha yako iko mikononi mwako!
 
Asante kwa ushauri.
 
Tuliza boli bi dada maranyingi umzaniae ndiye kumbe siye
Ila kila mtu anaandika acheni umalaya kama katoto sijui nani nani ni malaya mwanzoni unapuuzia sasa nimechoka aisee inabidi niulize why kwa maana tokea nijiunge jf sijawahi muona hata mmoja wao halafu wakikudis like this sio fresh lazima niumie.
 
Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa .
Sio mtu atupangie kula raha eti mtu anakuita malaya kisa unajiachia upendavyo .
Dah achani matani maisha nikujiachia sio kusikiliza watu .
Eti kafanya hivi au vile waache masingle ladies mnataka tuishi kama mmetulipia mahari mtukome .
Umalaya mmetushika kwenye danguro lipi ??
Hebu wacheni watu walio masingle wajinafasi .
Sasa ni hivi mkae kujua moja mbili hadi kumi na mbili.
Sio wadada wote wanapenda kukaba watu wahumu wengine wanapenda kujiachia couze wapo single.
KILA MTU HUMU ACHENI UMALAYA KAMA KATOTO KAZURI NA WENGINE WEWE UMEJUAJE MI MALAYA KAMA SIO NYIE MNAONGOZA KWA UKAHABA MMEFUZU UMALAYA MIMI SIPENDI HIZO TABIA ZA KINAFIKI.
Tulia kwanza vuta kiti ukae, punguza jazba na hasira, ili hata mwandiko wako uwe mzuri na upate kusomeka vyema na kueleweka vizuri.
Sasa tatizo liko wapi ikiwa anayekuita malaya hakujui wala hakufahamu, zaidi ya kusoma kile unachopenda akisome kutoka kwako?
 
Inauma wote kila mtu tu
 
Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa .
Sio mtu atupangie kula raha eti mtu anakuita malaya kisa unajiachia upendavyo .
Dah achani matani maisha nikujiachia sio kusikiliza watu .
Eti kafanya hivi au vile waache masingle ladies mnataka tuishi kama mmetulipia mahari mtukome .
Umalaya mmetushika kwenye danguro lipi ??
Hebu wacheni watu walio masingle wajinafasi .
Sasa ni hivi mkae kujua moja mbili hadi kumi na mbili.
Sio wadada wote wanapenda kukaba watu wahumu wengine wanapenda kujiachia couze wapo single.
KILA MTU HUMU ACHENI UMALAYA KAMA KATOTO KAZURI NA WENGINE WEWE UMEJUAJE MI MALAYA KAMA SIO NYIE MNAONGOZA KWA UKAHABA MMEFUZU UMALAYA MIMI SIPENDI HIZO TABIA ZA KINAFIKI.
Ukikua utajitambua...
 
Halafu ninachoshangaa mimi ni mwanamke kuwa na wanaume wengi anaonekana malaya ila mwanaume kuwa na wanawake wengi anaonekana kidume wakati wanaume wanafanya na wanawake hao hao halafu hivi kwanza kwanini watu mnaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii?

Yaani mngeishi kwa kufuata maandiko msingekuwa na mawazo kabisa na mngegundua kwamba hakuna cha malaya wala kidume wote wana dhambi ya uzinzi na uasherati na wote wanakosea hakuna cha jinsia wala maumbile aliyetuumba alishatoa amri na sheria zake kuwa ni dhambi hivyo wanaofanya wafanye huku wakijua kuwa ni dhambi na siyo kutafuta sababu za kuhalalisha hizo dhambi na kusingizia kuwa eti Mungu ameruhusu!
 
Nini tena kimetokea toto!

Usipende kuweka moyoni maneno ya kuambiwa mdogo wangu, huyo anayekuletea ndo mbaya na mchonganishi! Wewe yasikilize yaache yapite mamaa. Najua huwa yanaumiza ila kama hauko hivyo unajijua wewe na nafsi yako!

Furaha yako iko mikononi mwako!
Unakuwa una madini kwa kweli
 
Katika ubora wako mwenyewe
Nini tena kimetokea toto!

Usipende kuweka moyoni maneno ya kuambiwa mdogo wangu, huyo anayekuletea ndo mbaya na mchonganishi! Wewe yasikilize yaache yapite mamaa. Najua huwa yanaumiza ila kama hauko hivyo unajijua wewe na nafsi yako!

Furaha yako iko mikononi mwako!
 
Hufananii na mada zako
Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa .
Sio mtu atupangie kula raha eti mtu anakuita malaya kisa unajiachia upendavyo .
Dah achani matani maisha nikujiachia sio kusikiliza watu .
Eti kafanya hivi au vile waache masingle ladies mnataka tuishi kama mmetulipia mahari mtukome .
Umalaya mmetushika kwenye danguro lipi ??
Hebu wacheni watu walio masingle wajinafasi .
Sasa ni hivi mkae kujua moja mbili hadi kumi na mbili.
Sio wadada wote wanapenda kukaba watu wahumu wengine wanapenda kujiachia couze wapo single.
KILA MTU HUMU ACHENI UMALAYA KAMA KATOTO KAZURI NA WENGINE WEWE UMEJUAJE MI MALAYA KAMA SIO NYIE MNAONGOZA KWA UKAHABA MMEFUZU UMALAYA MIMI SIPENDI HIZO TABIA ZA KINAFIKI.
 
Hayo maandiko mbona mitume kibao walikuwa na wake wengi, hebu toa uchizi hapa. Mwanaume kqzaliwa kwa ajili ya kugegeda wanawake wengi hiyo ni nature huwezi kuipinga.
Halafu ninachoshangaa mimi ni mwanamke kuwa na wanaume wengi anaonekana malaya ila mwanaume kuwa na wanawake wengi anaonekana kidume wakati wanaume wanafanya na wanawake hao hao halafu hivi kwanza kwanini watu mnaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii?

Yaani mngeishi kwa kufuata maandiko msingekuwa na mawazo kabisa na mngegundua kwamba hakuna cha malaya wala kidume wote wana dhambi ya uzinzi na uasherati na wote wanakosea hakuna cha jinsia wala maumbile aliyetuumba alishatoa amri na sheria zake kuwa ni dhambi hivyo wanaofanya wafanye huku wakijua kuwa ni dhambi na siyo kutafuta sababu za kuhalalisha hizo dhambi na kusingizia kuwa eti Mungu ameruhusu!
 
Ila kila mtu anaandika acheni umalaya kama katoto sijui nani nani ni malaya mwanzoni unapuuzia sasa nimechoka aisee inabidi niulize why kwa maana tokea nijiunge jf sijawahi muona hata mmoja wao halafu wakikudis like this sio fresh lazima niumie.
Nan amekuita malaya mamaa!! Mtaje ili asirudie tena
 
Back
Top Bottom