Sisi sote ni wachina, Rais mstaafu wa Taiwan asema

TPP

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
650
Reaction score
783
"Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara.

Rais huyo alisisitiza kwamba,
"People on both sides of the Taiwan Strait are Chinese people, and are both descendants of the Yan and Yellow Emperors," Ma said, in comments provided by his office.

Ma anatumai ujenzi wa amani utafanyiwa kazi na pande zote mbili,
"We sincerely hope that the two sides will work together to pursue peace, avoid war, and strive to revitalise China,"

Ma alisisitiza kuwa hili ni jukumu la wachina wote,
"This is an unavoidable responsibility of Chinese people on both sides of the Strait, and we must work hard."
https%3A%2F%2Fs3-ap-northeast-1.amazonaws.com%2Fpsh-ex-ftnikkei-3937bb4%2Fimages%2F9%2F8%2F3%2...jpg
mqdefault(0).jpg
 
Mmarekani akisikia hivi lazima anune,,, kama alivyonuna pale mashariki ya kati wakati saudi Arabia na Iran wamesaini peace wakati huo huo saudi Arabia na Yemen amani imetawala,,, lkn mmarekani kwa roho yake mbaya kipindi wenzio wanataka amani yeye kapeleka manowari ya kijeshi pale mashariki ya kati sasa sijui anamtisha nani!
 
Mmarekani akisikia hivi lazima anune,,, kama alivyonuna pale mashariki ya kati wakati saudi Arabia na Iran wamesaini peace wakati huo huo saudi Arabia na Yemen amani imetawala,,, lkn mmarekani kwa roho yake mbaya kipindi wenzio wanataka amani yeye kapeleka manowari ya kijeshi pale mashariki ya kati sasa sijui anamtisha nani,,,
Amani ni swala la msingi baina ya pande mbili hasimu kuliko vita
 
Huyu kiongozi mstaafu anatumiliwa na China sasa it is good for nothing, atasemea huko huko pemben pemben tu TAIWAN wao ni nchi nyengine na watu wengine na wanailinda nchi yao ni vile China ameze mate machungu tu
 
Marekani hataki hivyo kwa kuwa biashara yake ya silaha itadoda,,,, sasa ile manowari yake aliyoipeleka pale mashariki ya kati wakati watu wanasaini peace pale ya nini? Anamtisha nani?
Naona mabalozi wa China,Iran,Saudi Arabia wapo viunga vya Beijing kuendeleza peace talk hawataki na wamechoka fitina baina yao.

Ni muda sasa migogoro kupungua mashariki ya kati
 
Hao Iran na Saudi Arabia, wako kwenye power struggle ya Shia na Sunni siku zote. Kumaliza uhasama kati yao labda kila mmoja aache kufadhili makundi ya upande wake kati ya nchi zao na nchi nyingine.
Naona mabalozi wa China,Iran,Saudi Arabia wapo viunga vya Beijing kuendeleza peace talk hawataki na wamechoka fitina baina yao.

Ni muda sasa migogoro kupungua mashariki ya kati
 
Huyu kiongozi mstaafu anatumiliwa na China sasa it is good for nothing, atasemea huko huko pemben pemben tu TAIWAN wao ni nchi nyengine na watu wengine na wanailinda nchi yao ni vile China ameze mate machungu tu
Huyo ni former President of Taiwan anasema wote ni wachina wewe wasema ana tumiwa na China bara, wewe ndie unapaswa kuaminiwa sio yeye ? Ok
 
Rais wa sasa wa Taiwan hawezi kwenda China na kusema yeye ni Mchina na Taiwan na China ni wamoja, huyo kiongozi mstaafu nasema yeye anatumiliwa asemea huko huko pemben pemben tu
 
Mmarekani akisikia hivi lazima anune,,, kama alivyonuna pale mashariki ya kati wakati saudi Arabia na Iran wamesaini peace wakati huo huo saudi Arabia na Yemen amani imetawala,,, lkn mmarekani kwa roho yake mbaya kipindi wenzio wanataka amani yeye kapeleka manowari ya kijeshi pale mashariki ya kati sasa sijui anamtisha nani,,,
Well said mkuu, sasa na Wachina waanze kuwachochea na kuwapelekea silaha kisiwa cha Hawaii Merikani ilicho ki-annex kwa nguvu kutoka kwa Queen Lililokuani kwenye miaka ya late 1800s. Vile vile Wachochee na kuwapatia silaha raia wa jimbo la Texas ili wajiunge tena na Mexico, si Wamerika wana tabia ya kuvuruga mataifa yasielewane kwa manufaa yake - basi na yeye afanyiwe kweli hata kwenye visiwa vya Guam ,Diego Garcia na Okinawa.
 
Huwezi kuilewa Geopolitics vizuri ukiwa na matongotongo machoni. Iko complicated sana.
Mmarekani akisikia hivi lazima anune,,, kama alivyonuna pale mashariki ya kati wakati saudi Arabia na Iran wamesaini peace wakati huo huo saudi Arabia na Yemen amani imetawala,,, lkn mmarekani kwa roho yake mbaya kipindi wenzio wanataka amani yeye kapeleka manowari ya kijeshi pale mashariki ya kati sasa sijui anamtisha nani,,,
 
Mmarekani akisikia hivi lazima anune,,, kama alivyonuna pale mashariki ya kati wakati saudi Arabia na Iran wamesaini peace wakati huo huo saudi Arabia na Yemen amani imetawala,,, lkn mmarekani kwa roho yake mbaya kipindi wenzio wanataka amani yeye kapeleka manowari ya kijeshi pale mashariki ya kati sasa sijui anamtisha nani,,,
hv unaelewa chochote juu ya hao watu ?
 
Kama wote ni Wachina kwa nini CCP haiko Taiwan? Kwa nini Taiwan kuna mfumo wa vyama vingi ila huko kwingine CCP ndio inatawala?
Ni sawa na Kusema Korea Kusini na Korea Kaskazini wote ni Wakorea tu.
Huyo ni former President of Taiwan anasema wote ni wachina wewe wasema ana tumiwa na China bara, wewe ndie unapaswa kuaminiwa sio yeye ? Ok
 
Kama wote ni Wachina kwa nini CCP haiko Taiwan? Kwa nini Taiwan kuna mfumo wa vyama vingi ila huko kwingine CCP ndio inatawala?
Ni sawa na Kusema Korea Kusini na Korea Kaskazini wote ni Wakorea tu.
Unachanganya mifumo ya siasa na raia wa pale Taiwan na bara asili yao ni nini ? alichosema Ma kuwa wote bara na kisiwani ni raia wa kichina na wala sio mifumo ya siasa.
 
Marekani hataki hivyo kwa kuwa biashara yake ya silaha itadoda,,,, sasa ile manowari yake aliyoipeleka pale mashariki ya kati wakati watu wanasaini peace pale ya nini? Anamtisha nani?
kwamba wao hawana akili ? kujua wanagombanishwa ? vitu vingine Marekan mnawaonea tu , ebu ifanyien hivyo Zanzibar muone , kama hawatowajibu , kuna vipendele China bara ilikuwa inavivunja ndio maana Taiwan ikataka kuwa huru the same siku mkikoseq vipengele vya muungano na Zanzibar lazima Zanzibar waone bora wawe huru tu , Marekan hana uhusika wowote kama Zanzibar atakavyo enda Oman kuomba msaada dhidi ya Tz bara baada ya kuona muungano unakuwa kero kwao hasa kwa bara kuvunja vipengele , China imefanya the same kwa Hong Kong ( 1997 Uk iliipa uhuru Hong Kong kwa kuikabidhi kwa China na yapo makubaliano ambapo kutobadili mfumo wa kiuchumi na kisiasa wa Hong Kong ila China amebadli mfumo wa kimaisha wa Hong Kong kwa zaid 60% yaan wanatak peleka siasa za kibabe za China bara kule Hong Kong ndio maana Hong Kong kila siku wanandaman kuipinga China bara so kituko kuisingizia Marekan wakati china anaisha vibaya na majimbo yake mf Taiwan na Hong Kong ) pia China haijaishia hapo wanafanya siasa za kibabe hadi kwa Australia , Philipines , Japan , India ma hata Nepal wanalia lia kila siku kuhusu China ( hupuuzia kitu mpk kimgonge )
 
Taiwan haiitakii China tangu yalipofanyika mapinduzi ya Kikomunisti yaliyoishia bara mwaka 1949, sio kwa sababu inachochewa na yeyote.

Hawaii na Texas wanatumia passport moja ya USA, Taiwan wanatumia passport yao tofauti na jeshi lao tofauti kabisa na bara CCP inakotawala. Usiropoke tu uonekane na wewe umesema kitu.

Back
Top Bottom