Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hata Marekani na Urusi wana balozi kati ya mataifa yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran ilisaidia kundi la Washia la Houthi kumuondoa Rais wa Yemen. Saudi Arabia ikampa hifadhi, ikaendelea kumtambua na kumsaidia ufalme wao haukutaka kuwa jirani na utawala wa Kishia ikaanza kuishambulia Yemen na kuweka naval blockade kwenye bandari kuzuia silaha za Iran kwenda. Marekani inahusikaje hapo?Mmarekani akisikia hivi lazima anune,,, kama alivyonuna pale mashariki ya kati wakati saudi Arabia na Iran wamesaini peace wakati huo huo saudi Arabia na Yemen amani imetawala,,, lkn mmarekani kwa roho yake mbaya kipindi wenzio wanataka amani yeye kapeleka manowari ya kijeshi pale mashariki ya kati sasa sijui anamtisha nani,,,
I appreciate you,you have a big knowledge or you take trouble kujifunza kuhusu geopoliticsIran ilisaidia kundi la Washia la Houthi kumuondoa Rais wa Yemen. Saudi Arabia ikampa hifadhi, ikaendelea kumtambua na kumsaidia ufalme wao haukutaka kuwa jirani na utawala wa Kishia ikaanza kuishambulia Yemen na kuweka naval blockade kwenye bandari kuzuia silaha za Iran kwenda. Marekani inahusikaje hapo?
Manowari ya kijeshi haijaanza kwenda mwaka huu na haitoacha. Mediterranean na Red Sea pale Marekani ina presence majini tangu karne ya 19 wewe ndio umeona sasa
Kwan hujui kama wote niwakorea nawanaongea lugha moja tofauti ni itikadi tuKama wote ni Wachina kwa nini CCP haiko Taiwan? Kwa nini Taiwan kuna mfumo wa vyama vingi ila huko kwingine CCP ndio inatawala?
Ni sawa na Kusema Korea Kusini na Korea Kaskazini wote ni Wakorea tu.
Huo ulimwengu unaousema umeshindwa kumsapoti Taiwan walau kwa kubadilishana mabaloz sasa sidhan km midege ya kichina ikianza kushambulia km kuna atakayesogeauhitaji wa Taiwan kuunganishwa na mainland China unapaswa kuamuliwa na waTaiwanese wenyewe.
Kura za maoni hazioneshi kama sehemu kubwa ya waTaiwanesse wanahitaji kuunganishwa na mainland China.
Mgogoro huu utawapa wachina hali mbaya sana siku za mbeleni. Ulimwengu utaungana na waTaiwan kupinga uvamizi wa waChina
Mkianza hayo mazungumzo mtujulishe nasi tuliokimbilia Burundi turudi kushirikiNi muda sasa na sisi tutafute amani na CCM, siyo kwa kipigo hichi wanachokitoa 🤕🤕🤕
Kwa nini yeye akiwa rais hakuirudisha Taiwan mikoni mwa China ili kwenda sawa na matakwa china kwamba Taiwan ni sehemu ya china na ipo siku itarudi mikononi mwa China?!Unachanganya mifumo ya siasa na raia wa pale Taiwan na bara asili yao ni nini ? alichosema Ma kuwa wote bara na kisiwani ni raia wa kichina na wala sio mifumo ya siasa.
hili swala la 1949 sio leo na tatizo ni mapinduz yaliyofanywa miaka hiyo , aliyefanya mapinduz ndo alikosea na ndio chanzo cha yote hayaNchi nyingi zinakuwa kwenye migogoro baada ya US kuingia kwenye equation
Sehemu kubwa ya nchi nyingi Duniani unaitambua Taiwan kama Taifa huru. Kwenye mikutano ya UN 13 Countries plus Vatican recognise Taiwan kama taifa huru.Huo ulimwengu unaousema umeshindwa kumsapoti Taiwan walau kwa kubadilishana mabaloz sasa sidhan km midege ya kichina ikianza kushambulia km kuna atakayesogea
Marekani ni War Mongerwenzio wanataka amani yeye kapeleka manowari ya kijeshi pale mashariki ya kati sasa sijui anamtisha nani,,,
Ikiwa UN haiitambui Taiwan (ROC) kama taifa huru bali inawakilishwa na China (PRC) pale UN hizo nchi nyingine ni zipi zinaitambua kama taifa huru?Sehemu kubwa ya nchi nyingi Duniani unaitambua Taiwan kama Taifa huru
Wakutumiwa anatumiwa aliyeko madaraki maana yeye ndiye mwenye karamu! Kwani uongo kuwa Taiwan sio Wachina?Rais wa sasa wa Taiwan hawezi kwenda China na kusema yeye ni Mchina na Taiwan na China ni wamoja, huyo kiongozi mstaafu nasema yeye anatumiliwa asemea huko huko pemben pemben tu
Mnafiki tu huyo,kwa nini kipindi alivyokuwa Raisi asingepambana Taiwani iwe jimbo au mkoa rasmi wa China?"Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara.
Rais huyo alisisitiza kwamba,
"People on both sides of the Taiwan Strait are Chinese people, and are both descendants of the Yan and Yellow Emperors," Ma said, in comments provided by his office.
Ma anatumai ujenzi wa amani utafanyiwa kazi na pande zote mbili,
"We sincerely hope that the two sides will work together to pursue peace, avoid war, and strive to revitalise China,"
Ma alisisitiza kuwa hili ni jukumu la wachina wote,
"This is an unavoidable responsibility of Chinese people on both sides of the Strait, and we must work hard."
View attachment 2581959View attachment 2581960
Taiwan ni sehemu ya China toka 1945. Ulitaka apambanie nini zaidi ya kuhimiza amani baina yao kama ambavyo alivyo fanya
Taiwan ni sehemu ya China toka 1945. Ulitaka apambanie nini zaidi ya kuhimiza amani baina yao kama ambavyo alivyo fanya
We unavyoona kwa sasa Taiwani kiuhalisia ipo china?Taiwan ni sehemu ya China toka 1945. Ulitaka apambanie nini zaidi ya kuhimiza amani baina yao kama ambavyo alivyo fanya