crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Huyo former president kuondoa unafiki ilibidi aseme haitambui taiwan. Kwa nini hakuirudisha taiwan yeye akiwa rais? Nadhani mwenye haki ya kusema hivyo ni wataiwan wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa bloanguNdio
Marekani yenyewe na mbwembwe zote hana ubalozi pale TaiwanSehemu kubwa ya nchi nyingi Duniani unaitambua Taiwan kama Taifa huru
"Sisi sote ni wachina" hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Rais wa Taiwan Ma Jing-jeou aliyo zungumza wakati wa ziara yake China bara.
Rais huyo alisisitiza kwamba,
"People on both sides of the Taiwan Strait are Chinese people, and are both descendants of the Yan and Yellow Emperors," Ma said, in comments provided by his office.
Ma anatumai ujenzi wa amani utafanyiwa kazi na pande zote mbili,
"We sincerely hope that the two sides will work together to pursue peace, avoid war, and strive to revitalise China,"
Ma alisisitiza kuwa hili ni jukumu la wachina wote,
"This is an unavoidable responsibility of Chinese people on both sides of the Strait, and we must work hard."
View attachment 2581959View attachment 2581960
Sasa ndii rais msaafu kasema! unabishana nae?Kama wote ni Wachina kwa nini CCP haiko Taiwan? Kwa nini Taiwan kuna mfumo wa vyama vingi ila huko kwingine CCP ndio inatawala?
Ni sawa na Kusema Korea Kusini na Korea Kaskazini wote ni Wakorea tu.
Taratibu tu Mkuu watafika huko!Hao Iran na Saudi Arabia, wako kwenye power struggle ya Shia na Sunni siku zote. Kumaliza uhasama kati yao labda kila mmoja aache kufadhili makundi ya upande wake kati ya nchi zao na nchi nyingine.
sasa kama wa Taiwan ni wachina China inashindwa nini kwenda kuishi na ndugu zao wanapita na ndege pemben pembeniWakutumiwa anatumiwa aliyeko madaraki maana yeye ndiye mwenye karamu! Kwani uongo kuwa Taiwan sio Wachina?
uhitaji wa Taiwan kuunganishwa na mainland China unapaswa kuamuliwa na waTaiwanese wenyewe.
Kura za maoni hazioneshi kama sehemu kubwa ya waTaiwanesse wanahitaji kuunganishwa na mainland China.
Mgogoro huu utawapa wachina hali mbaya sana siku za mbeleni. Ulimwengu utaungana na waTaiwan kupinga uvamizi wa waChina
Mkuu hauna smart phone? Dunia nzima ipo kiganjani kwakoHizo kura za maoni zilipigwa lini?
Watu waliachana na corona kama hivi baada ya kuuona ukweli. wa mwisho ni wachina.Wakati wa kombe la dunia wenzao wanashangilia Qattar wao ndio kwanza wanafungiwa ndani.Wakasema basi na ikawa.Mmarekani akisikia hivi lazima anune,,, kama alivyonuna pale mashariki ya kati wakati saudi Arabia na Iran wamesaini peace wakati huo huo saudi Arabia na Yemen amani imetawala,,, lkn mmarekani kwa roho yake mbaya kipindi wenzio wanataka amani yeye kapeleka manowari ya kijeshi pale mashariki ya kati sasa sijui anamtisha nani,,,
Kaka haijalishi UN aitambue au Nchi zingine iitambue kuwa Taiwan ni Nchi,siku China bara akitaka kuichukua ataichukua tu hata na huyo USA ukiangalia.Sehemu kubwa ya nchi nyingi Duniani unaitambua Taiwan kama Taifa huru. Kwenye mikutano ya UN 13 Countries plus Vatican recognise Taiwan kama taifa huru.
Main land China wanatumia influence kuondoa utambuzi wa hizo nchi kwa kutumia fedha, projects na mikopo kwa hizo nchi. Hivi majuzi Honduras imebadilisha mwelekeo wake wa kuitambua Taiwan kama taifa huru ukiangalia kwa undani utakuta Ukaribu wake na main land China ni kutokana na influence ya China kuwajengea projects za kimkakati kama hydro electric power n.k
But still bado Taiwan inawatambuzi wa kutosha kushinda kwenye vikao vya UN na huu mgogoro utaamsha hisia nyingi za nchi nyingi kuitambua Taiwan kama taifa huru
Kwani wewe unavyoona kwa sasa mafia ipo Tanzania?We unavyoona kwa sasa Taiwani kiuhalisia ipo china?
Mbona unajichanganya mjomba,UN haitambui Taiwan kama Taifa.Sehemu kubwa ya nchi nyingi Duniani unaitambua Taiwan kama Taifa huru. Kwenye mikutano ya UN 13 Countries plus Vatican recognise Taiwan kama taifa huru.
Main land China wanatumia influence kuondoa utambuzi wa hizo nchi kwa kutumia fedha, projects na mikopo kwa hizo nchi. Hivi majuzi Honduras imebadilisha mwelekeo wake wa kuitambua Taiwan kama taifa huru ukiangalia kwa undani utakuta Ukaribu wake na main land China ni kutokana na influence ya China kuwajengea projects za kimkakati kama hydro electric power n.k
But still bado Taiwan inawatambuzi wa kutosha kushinda kwenye vikao vya UN na huu mgogoro utaamsha hisia nyingi za nchi nyingi kuitambua Taiwan kama taifa huru
Siku zote wanatambulika kama wachina anacho himiza ni amani baina yao wachina
Waarabu hawatakuja kupatana hilo sahau.Mmarekani akisikia hivi lazima anune,,, kama alivyonuna pale mashariki ya kati wakati saudi Arabia na Iran wamesaini peace wakati huo huo saudi Arabia na Yemen amani imetawala,,, lkn mmarekani kwa roho yake mbaya kipindi wenzio wanataka amani yeye kapeleka manowari ya kijeshi pale mashariki ya kati sasa sijui anamtisha nani,,,