Sisi sote ni wachina, Rais mstaafu wa Taiwan asema

Sisi sote ni wachina, Rais mstaafu wa Taiwan asema

Kaka haijalishi UN aitambue au Nchi zingine iitambue kuwa Taiwan ni Nchi,siku China bara akitaka kuichukua ataichukua tu hata na huyo USA ukiangalia.

Sio kwamba USA anawapenda sana wataiwani bali anawatumia kama mtego wa kuiangusha China kiuchumi,situation ya China na Taiwan haina tofauti na ule wa Ukraine na Russia.But at the end China atazichanga karata zake na Taiwan itachukuliwa tu kwa njia yoyote maana China hawezi kuruhusu Taiwan kubwa kama fimbo dhidi yake.
nyiny watu huwa ni wapumbav sana yaan mnawafanyaga USA kama miungu watu kwamba wakiamua yeyote anagombana tu , kwann wasiwagombanishe China na Russia ? migogoro ming mnakuwa nayo wenyew halaf lawama mnampa USA
 
Wewe ndo unasema hivyo ila watu wakiamua kupatana,, wanapatana vizuri tu na maisha yanaendelea,, ni siasa tu za chuki zilizopandikizwa na mmarekani lkn ktk maisha ya kawaida huwezi kukuta raia wa Syria anamchukia msaudia,,, na kwa kuliona hilo ndio maana wamesaini peace,,,, ni sawa na Ukraine/urusi raia wa kawaida hawana chuki wala ugomvi baina yao isipokuwa siasa ndo imeleta balaa
na Quran inayowafundisha chuki kaandika marekan?
 
Kama yapi ?
wewe ni zezeta sana kuna maswali umeulizwa huko juu unayakimbia , hv China inakutambua ? weka facts kwa faida ya kizaz chetu na cha baadae ila wewe una uzuz wa mahaba
 
na Quran inayowafundisha chuki kaandika marekan?
Anzisha uzi wako tujadili hilo,,,, yani umeonyesha unavyoichukia quran pamoja na wanayoifuata!! Ila hapa si mahali pake japo umeonyesha hisia zako,, hapa ni China na Taiwan,,,
 
Umetaka upewe sehemu ya matamshi na umepewa, baada ya kupewa unaongeza maswali yasiyo na msingi.
Ukifahamu hivyo vitu vina epusha kuuliza maswali ya namna hiyo
 
Mengine unaongea ki ushabiki bila kufuata uhalisia...Chini ni Jirani sana na ndugu zao Taiwan, Taiwan ni sehemu ya nchi ya watu wa Taiwan na wanayo mamlaka kamili. Ukiwa na mamlaka kamili uwezi kuchaguliwa marafiki wa ku side nao.

Wao Taiwan wakichagua USA kama marafiki wao China inawatishia sasa kati rafiki USA na China nani analeta ugomvi?

China amewatafuta marafiki wake na kuunga BRICS wala Taiwan haijasema chochote kuwa China imefanya hivyo bila kuwasirikisha...ila kuongozi wa Taiwan kutembelea marafiki zake tu inakuwa kinyongo kwa China.

Nchi ikishakuwa na Wimbo, Bendera, Rais, Katiba yao...then inakuwa nchi huru wa kujichagulia mambo yake tofauti na hapo ki kuwaingilia. Taiwan yeye anamwomba tu USA asogeze manuari wake karibu ili wafanye mazoezi kama walivyokubaliana.

China ina wivu sana ila haiwezi kuishawishi nchi ijiunge nae make amekaa ki binafsi sana.
Wimbo,Bendera,Rais,katiba ... Zanzibar inavyo vyote je ni nchi huru!!?? Nimekaa paleee nasubiri jibu NDIO au HAPANA...
 
Wimbo,Bendera,Rais,katiba ... Zanzibar inavyo vyote je ni nchi huru!!?? Nimekaa paleee nasubiri jibu NDIO au HAPANA...
Ndiyo ni nchi huru iliyoungana na Tanganyika kuunda Tanzania...au wewe unadhani Zanzibar ni nini?
 
Mengine unaongea ki ushabiki bila kufuata uhalisia...Chini ni Jirani sana na ndugu zao Taiwan, Taiwan ni sehemu ya nchi ya watu wa Taiwan na wanayo mamlaka kamili. Ukiwa na mamlaka kamili uwezi kuchaguliwa marafiki wa ku side nao.

Wao Taiwan wakichagua USA kama marafiki wao China inawatishia sasa kati rafiki USA na China nani analeta ugomvi?

China amewatafuta marafiki wake na kuunga BRICS wala Taiwan haijasema chochote kuwa China imefanya hivyo bila kuwasirikisha...ila kuongozi wa Taiwan kutembelea marafiki zake tu inakuwa kinyongo kwa China.

Nchi ikishakuwa na Wimbo, Bendera, Rais, Katiba yao...then inakuwa nchi huru wa kujichagulia mambo yake tofauti na hapo ki kuwaingilia. Taiwan yeye anamwomba tu USA asogeze manuari wake karibu ili wafanye mazoezi kama walivyokubaliana.

China ina wivu sana ila haiwezi kuishawishi nchi ijiunge nae make amekaa ki binafsi sana.
Taiwan sio nchi mkuu!!
 
Back
Top Bottom