Sisi sote ni wachina, Rais mstaafu wa Taiwan asema

Huyo former president kuondoa unafiki ilibidi aseme haitambui taiwan. Kwa nini hakuirudisha taiwan yeye akiwa rais? Nadhani mwenye haki ya kusema hivyo ni wataiwan wenyewe.
 
Huyo former president kuondoa unafiki ilibidi aseme haitambui taiwan. Kwa nini hakuirudisha taiwan yeye akiwa rais? Nadhani mwenye haki ya kusema hivyo ni wataiwan wenyewe.
Taiwan ni sehemu ya China toka muda sana hivyo ndivyo ilivyo
 


Mbona alipokuwa raisi hakutamka maneno hayo??!, leo kashikwa na nini??
 
CHINA: Country says its military followed and monitored the movements of the US destroyer that passed through the South China Sea and near the Spratly Islands
 
Kama wote ni Wachina kwa nini CCP haiko Taiwan? Kwa nini Taiwan kuna mfumo wa vyama vingi ila huko kwingine CCP ndio inatawala?
Ni sawa na Kusema Korea Kusini na Korea Kaskazini wote ni Wakorea tu.
Sasa ndii rais msaafu kasema! unabishana nae?
 
Hao Iran na Saudi Arabia, wako kwenye power struggle ya Shia na Sunni siku zote. Kumaliza uhasama kati yao labda kila mmoja aache kufadhili makundi ya upande wake kati ya nchi zao na nchi nyingine.
Taratibu tu Mkuu watafika huko!
 
Mbona alipokuwa raisi hakutamka maneno hayo??!, leo kashikwa na nini??
Siku zote wanatambulika kama wachina anacho himiza ni amani baina yao wachina
 

Hizo kura za maoni zilipigwa lini?
 
Watu waliachana na corona kama hivi baada ya kuuona ukweli. wa mwisho ni wachina.Wakati wa kombe la dunia wenzao wanashangilia Qattar wao ndio kwanza wanafungiwa ndani.Wakasema basi na ikawa.
 
Kaka haijalishi UN aitambue au Nchi zingine iitambue kuwa Taiwan ni Nchi,siku China bara akitaka kuichukua ataichukua tu hata na huyo USA ukiangalia.

Sio kwamba USA anawapenda sana wataiwani bali anawatumia kama mtego wa kuiangusha China kiuchumi,situation ya China na Taiwan haina tofauti na ule wa Ukraine na Russia.But at the end China atazichanga karata zake na Taiwan itachukuliwa tu kwa njia yoyote maana China hawezi kuruhusu Taiwan kubwa kama fimbo dhidi yake.
 
Mbona unajichanganya mjomba,UN haitambui Taiwan kama Taifa.
 
Waarabu hawatakuja kupatana hilo sahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…