Fauya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 262
- 479
Ndio kina mshahara na madili ya pesa vilevileVp na mkuu wa majesh, rais wa nchi, mwenyekiti wa chama, usikute kila cheo kina mshahala wake kwa mtu huyo huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kina mshahara na madili ya pesa vilevileVp na mkuu wa majesh, rais wa nchi, mwenyekiti wa chama, usikute kila cheo kina mshahala wake kwa mtu huyo huyo
Huogopi kumtaja huyo ?Kwa Tanzania waziri mkuu ni kama rais kivuli wa Tanganyika. Hii ni siri tunayoijua watu wachache wakiwemo wakina mafwele.
Wajifinze upuuzi Ganihakuna haja kuhamisha magoli kwa makasiriko na mihemko gentleman...
kama umefikia ukomo wa fikra mpya na mawazo mbadala ni afadhalli utafute kachai kidogo na roho yako itulie...
Jimbo la paramiho tuliiga wap kama sio ubunifu wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania? 🐒
Acheni mataifa ya ulimwengu yaje kujifunza masuala ya kisiasa na uongozi Tanzania 🐒
Not mkuu wa majeshi,ni amiri mkuu wa jeshiVp na mkuu wa majesh, rais wa nchi, mwenyekiti wa chama, usikute kila cheo kina mshahala wake kwa mtu huyo huyo
Yaani makamu wa Rais,waziri mkuu na naibu waziri mkuu. Duuuh
Pointi kuu iko humu na si vinginevyoKwa Tanzania waziri mkuu ni kama rais kivuli wa Tanganyika. Hii ni siri tunayoijua watu wachache wakiwemo wakina mafwele.
kaa utulie gentleman, huna tena mawazo mapya wala fikra mbadala. Nashukuru utakua umeelewa wewe pamoja na wenzako,Sawa?🐒Usijivue nguo tena
hayo ni mabaki ya mawazo ya kitumwa na ya kimaskini na zaidi sana huenda yanachochewa na ushirikina...Wajifinze upuuzi Gani
Hata katiba tumeandikiwa na Mwingereza
Vyeo tumepqngiwa na mkoloni
Wewe naye,hujui kuwa hawa wakuu wa wilayawana miradi Yao ambayo waneajiri watu wa kuisimamia!?Duuuh, Tanzania tunazo Wilaya 1000?
Kwa wakati ule ilikuwa katiba sahihi na niyampito kulingana na elimu na idadi ya watu.Matatizo yote haya yalisababishwa na Nyerere kutuachia katiba mbovu na ya hovyo
Ccm watakuambia nchi inahitaji kuwa na vyeo vingi ili makada wake wale Kodi ya mvuja jasho wa hii nchi.Vipo vyeo inatakiwa kufutwa
1 Makamu wa rais
2 Mkuu wa wilaya, huyu majuku yake atafanya mkurugenzi w
3 naibu waziri huyu kazi zake atafanya katibu wa wizara
Hiyo ya Raila ili kubalance makabila ni ya kwako wewe. Katafute wajinga wa kuwadanganyaNaona anapima na kuchagua pick and choose. Kwa nini ufikiri sisi ni WA kuoga tu, kwa nini tusiigwe? Uingereza hawana Rais. Afrika ya Kusini wana Wizara ya Kuchagua Ushoga ("Freedom to choose sexual orientation", imo kwenye Katiba). Ujerumani hawana Rais, na Dubai na Saudia. Utaiga wangapi? Naomba ututafutie ni Nchi ngapi wameiga Tanzania? Umetaja Kenya, umesahau Raila alitengenezewa cheo cha Prime Minister ili kubalsnce makabila, alipopewa Uvice Pres it dent na Mwai Kibali cheo kikafutwa. Usituambie ya kuigaiga.
Waziri mkuu wa Tanzania , kikatiba ni sawa na rais wa Tanganyika ndio maana mamlaka yake hayavuki maji.Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi
1. Marekani - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
2.Ufaransa - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu
3. Africa Kusini - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
4.Kenya - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
5.Zambia - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
6.Ghana - Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais.
7. Senegal - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu
8.Botswana - Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais
9. Brazil - Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais
10. Korea Kusini - Haina makamu wa Rais, ina Waziri mkuu
Halafu Rais wa Tanganyika atakuwa nani.Ni kweli kabisa una point; cheo cha waziri mkuu kifutwe tu na majukumu yake yachukuliwe na makamu wa rais kwa sababu sasa hivi makamu wa rais ni ceremonial post tu ya kumwakilisha rais kwenye misiba. Hakuna majukumu maalum ya Makamu wa Rais
Nchi hii ina fedha Nyingi ya watawala kula ila sio kuleta maendeleo kwa wananchi . Inasikitisha sana kwa kweliRwanda size ya Mkoa wa Tabora wana RAIS na WAZIRI MKUU... Zanzibar size ya wilaya ya Kigamboni wana RAIS, Makamu wawili na Baraza la Mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, vikosi vya JKU, KMKM na Mambo chungu mbovu
Waziri MkuuMudavadi ni nani Hapo Kenya? 🐼
Hapa si kweliUjerumani hawana Rais
sisi tuna mpaka makamu wa waziri mkuu, wote hawa wanagawana kodi zetu!Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi
1. Marekani - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
2.Ufaransa - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu
3. Africa Kusini - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
4.Kenya - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
5.Zambia - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
6.Ghana - Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais.
7. Senegal - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu
8.Botswana - Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais
9. Brazil - Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais
10. Korea Kusini - Haina makamu wa Rais, ina Waziri mkuu