Sisi tuliiga wapi kuwa na vyeo vyote viwili vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?

Sisi tuliiga wapi kuwa na vyeo vyote viwili vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?

Kwenye katiba ya Kenya hakuna cheo cha mkuu wa mawiziri au waziri mkuu, Mudavadi ni waziri tu kama mawaziri wengine.
wanalazimisha mambo, wanatamani kuiga Tanzania kwasababu ya umuhimu wa nafasi yeyewe tunapoelekea lazima watairasimisha kikatiba 🐒
 
Me naona cheo cha Vice president ni ceremonial title tu
Makamu wa Rais hana meno, hawezi kumwajibisha mtu, sio mtendaji anangoja tu Rais afe awe madarakani

Na cheo cha Vice President wakishtuka kitakuwa kinaleta mauaji ya Rais aliyepo madarakani ili Makamu awe Rais.

Waziri mkuu ni mtendaji, ni mwalilishi wa serikali bungeni japo ingekuwa poa akawa sio mbunge, agombee tumchague wananchi sio kuteuliwa

Vyeo vya kikoloni kama mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya ndo ovyo, hatuhitaji wateule wengi ila kama hawa viongozi inatakiwa wachaguliwe ili wawajibike Kwa wananchi sio Kwa waliowateua
 
🤣🤣🤣 yanatoka moyoni kweli Hayo?
Cheki kenya wanavyolazimisha kua na waziri Mkuu kwa kuiga Tanzania. Who is prime cabinet minister?

walikuapo na makatibu wakuu 42 mahakama ikakataa nayo bilashaka tuendako wataiga vyote kama ilivyo Tanzania. Zaidi sana cheki DRC na sudani zote mbili lazima waige utaratibu wa uongozi Tanzania ili kujihakikishia Amani 🐒
 
Kwani Prime minister ni cheo kilichobiniwa TANZANIA
 
Tz vyeo vipo kiupigaji zaidi badala ya kuleta tija. Wapo radhi waongeze idadi ya majimbo ili mtu fulani apate jimbo
 
Kwa Tanzania waziri mkuu ni kama rais kivuli wa Tanganyika. Hii ni siri tunayoijua watu wachache wakiwemo wakina mafwele.
Halafu cheo cha makamu wa rais walipewa wanzanzibar Kama zawadi tu.

Coz mwanzoni ilitakiwa makamu wa rais awe ni rais wa Zanzibar

Ila mzee Nyerere akawaza mbali sana, vipi kama ikatokea rais amekata moto?? Ina maana rais wa Zanzibar ndio aje kuwa rais wa Tanzania nzima??

Maana yake yaani mtu aliechaguliwa kwa nguvu ya kijiko aje kutawala sinia zima???

Yaani  CHUMA alipokata kamba, ndugu Hussein ndio alitakiwa aje kuwa main prezida.

Mzee Nyerere akaona hapana bora niwape zawadi ya umakamu(ndio maana kazi ya umakamu rais ni kupanda maua na kuzindua majengo, nothing else!! Jiulize, Dr Mpango kipindi cha Magu alikua wa motooo, saiv kapanda cheo hata hasikiki,)

lakini Mzee Nyerere akaona na press kete ya uwaziri mkuu kama ndio rais kivuli wa tanganyika(hapa mzee Nyerere alipiga kingi)Kete ilichezwa vizuri.

Lakini kete yake Nyerere aliyocheza miaka kibao iliyopita leo hii imekua chungu sana kwa Watanganyika wenzangu baada ya kifo cha chuma .

Tuvumilie tu ndugu zanguni hili nalo litapita. 😄
 
Kitu Gani Hapa Tanzania hatujaiga
hatujaiga popote kua na Jimbo la uchaguzi Paramiho, huko songea gentleman..

au unataka kupotosha wadau kwamba Tume Huru ya Uchaguzi iliiga ugerumani?🐒
 
hatujaiga popote kua na Jimbo la uchaguzi Paramiho, huko songea gentleman..

au unataka kupotosha wadau kwamba Tume Huru ya Uchaguzi iliiga ugerumani?🐒
Wewe chawa naona umegaragara kwenye mavumbi Sasa unaanza kuropoka tu
Yaani majimbo ya uchaguzi yalibuniwa TANZANIA
 
Wewe chawa naona umegaragara kwenye mavumbi Sasa unaanza kuropoka tu
Yaani majimbo ya uchaguzi yalibuniwa TANZANIA
hakuna haja kuhamisha magoli kwa makasiriko na mihemko gentleman...

kama umefikia ukomo wa fikra mpya na mawazo mbadala ni afadhalli utafute kachai kidogo na roho yako itulie...

Jimbo la paramiho tuliiga wap kama sio ubunifu wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania? 🐒

Acheni mataifa ya ulimwengu yaje kujifunza masuala ya kisiasa na uongozi Tanzania 🐒
 
Back
Top Bottom