Sisi tuliiga wapi kuwa na vyeo vyote viwili vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?

Makamu wa Rais wa Tanzania ni muwakilishi wa upande mmoja wa Muungano.
 
Tanzania ni ya kuigwa. Haina haja ya kulinganishika. Kila nchi inatathmini yake
 
Ina haja ya waziri mkuu ashighulikie baraza la mawaziri. Makamu wa kwanza na wa pili wa raisi pia ni nzuri. Safi sana mipango mizuri
 
gimbi vipi tena?🐒
The mental disorder you are going through involves impairments in reality testing and logical reasoning, often seen in psychotic disorders. One common example is schizophrenia. In schizophrenia, a person may experience delusions (false beliefs) and hallucinations, and their ability to analyze things rationally can be impaired. They may struggle to differentiate between what is real and what is not, which can affect their ability to form logical arguments.
Another possibility is delusional disorder, where the person has strong beliefs in things that are not real, despite evidence to the contrary, affecting their reasoning process.
Cognitive impairments or thought disorders, often associated with psychosis, are typically marked by disorganized thinking, making it hard for the person to reason in a logical and coherent manner.
 
Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi
1. Marekani-Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

2.Ufaransa-Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu

3. Africa Kusini- Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

4.Kenya-Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

5.Zambia- Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

6.Ghana- Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais.

7. Senegal- Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu

8.Botswana-Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais

9. Brazil- Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais

10. Korea Kusini- Haina makamu wa Rais, ina Waziri mkuu
Hayo ndiyo madude dude ya kutofungamana na upande wowote.

Ova
 
Infact,
Mataifa mengi ulimwenguni yameiga mambo mengi mazuri ya uongozi kutoka Tanzania ,

na Tanzania haina haja kabisa, kuiga chochote kutoka popote duniani kwasababu inajitosheleza vyema katika uongozi wa kisiasa, kijamii, kiuchmi kitaifa na kimataifa 🐒
Na pdiddy

Hii nayo!
 
Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi
1. Marekani-Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

2.Ufaransa-Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu

3. Africa Kusini- Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

4.Kenya-Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

5.Zambia- Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

6.Ghana- Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais.

7. Senegal- Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu

8.Botswana-Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais

9. Brazil- Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais

10. Korea Kusini- Haina makamu wa Rais, ina Waziri mkuu
Ni kweli kabisa una point; cheo cha waziri mkuu kifutwe tu na majukumu yake yachukuliwe na makamu wa rais kwa sababu sasa hivi makamu wa rais ni ceremonial post tu ya kumwakilisha rais kwenye misiba. Hakuna majukumu maalum ya Makamu wa Rais
 
Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi
1. Marekani-Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

2.Ufaransa-Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu

3. Africa Kusini- Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

4.Kenya-Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

5.Zambia- Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais

6.Ghana- Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais.

7. Senegal- Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu

8.Botswana-Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais

9. Brazil- Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais

10. Korea Kusini- Haina makamu wa Rais, ina Waziri mkuu
Sometimes uwepo wa waziri mkuu..unamficha Makamu wa Rais, haonekani kama ni mtu mhimu sana..hasa ikiwa rais wake hampi nafasi za kumfanya aoenekane
 
Infact,
Mataifa mengi ulimwenguni yameiga mambo mengi mazuri ya uongozi kutoka Tanzania ,

na Tanzania haina haja kabisa, kuiga chochote kutoka popote duniani kwasababu inajitosheleza vyema katika uongozi wa kisiasa, kijamii, kiuchmi kitaifa na kimataifa 🐒
🤣🤣🤣 yanatoka moyoni kweli Hayo?
 
Raisi atatathmini ataamua. Inatosha yeyendie captain anajua vizuri. Tatizo ni ninj?
 
Back
Top Bottom