and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Rwanda size ya Mkoa wa Tabora wana RAIS na WAZIRI MKUU... Zanzibar size ya wilaya ya Kigamboni wana RAIS, Makamu wawili na Baraza la Mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, vikosi vya JKU, KMKM na Mambo chungu mbovuKwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi
1. Marekani-Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
2.Ufaransa-Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu
3. Africa Kusini- Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
4.Kenya-Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
5.Zambia- Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais
6.Ghana- Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais.
7. Senegal- Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu
8.Botswana-Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais
9. Brazil- Haina waziri mkuu, ina Makamu wa Rais
10. Korea Kusini- Haina makamu wa Rais, ina Waziri mkuu