Sisi tuliiga wapi kuwa na vyeo vyote viwili vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?

Wajifinze upuuzi Gani
Hata katiba tumeandikiwa na Mwingereza
Vyeo tumepqngiwa na mkoloni
 
Usijivue nguo tena
kaa utulie gentleman, huna tena mawazo mapya wala fikra mbadala. Nashukuru utakua umeelewa wewe pamoja na wenzako,Sawa?🐒
Wajifinze upuuzi Gani
Hata katiba tumeandikiwa na Mwingereza
Vyeo tumepqngiwa na mkoloni
hayo ni mabaki ya mawazo ya kitumwa na ya kimaskini na zaidi sana huenda yanachochewa na ushirikina...

acha ushirikina mara moja gentleman, sawa? alaaaa 🐒
 
Vipo vyeo inatakiwa kufutwa
1 Makamu wa rais
2 Mkuu wa wilaya, huyu majuku yake atafanya mkurugenzi w
3 naibu waziri huyu kazi zake atafanya katibu wa wizara
Ccm watakuambia nchi inahitaji kuwa na vyeo vingi ili makada wake wale Kodi ya mvuja jasho wa hii nchi.
 
Hiyo ya Raila ili kubalance makabila ni ya kwako wewe. Katafute wajinga wa kuwadanganya
 
Rais na Makamo wa Rais ni viongozi wa juu wa Shirikisho (yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania). Waziri Mkuu ni Mtawala wa Tanganyika (kwa maana rahisi ndiye Rais wa Tanganyika) akisaidiwa na Makamo wake Mhe. Dotto Biteko (Makamu wa rais wa Tanganyika). Zanzibar pia ina Rais wake na Makamu wake wa Rais.


Kimsingi huu ndo muundo wanaoutaka Watanzania urasimishwe kikatiba maana kiuhalisia ndivyo ilivyo kwenye utendaji ndo maana Waziri Mkuu kule Zanzibar hana Mamlaka kama ambavyo Rais wa Zanzibar huku Tanganyika hana Mamlaka.
 
Waziri mkuu wa Tanzania , kikatiba ni sawa na rais wa Tanganyika ndio maana mamlaka yake hayavuki maji.
 
Ni kweli kabisa una point; cheo cha waziri mkuu kifutwe tu na majukumu yake yachukuliwe na makamu wa rais kwa sababu sasa hivi makamu wa rais ni ceremonial post tu ya kumwakilisha rais kwenye misiba. Hakuna majukumu maalum ya Makamu wa Rais
Halafu Rais wa Tanganyika atakuwa nani.
 
tukitaka kuhesabi vyeo kimoja baada ya kingine,kuanzia rais mpaka mjumbe wa nyumba 10 kuna vyeo vingi sana ambavyo majukumu yake yanaingiliana.kuna ofisi pamoja na cheo cha anayeiongoza vinarandana kabisa nabofisi B kimajukumu.

mfano ni RITA na NIDA hizi hazikufaa kuwa taasisi 2 kabisa,ila ukiwakuta namna walivyo busy huku mtandao ukisumbua daily wakati unataka huduma,ndio utaelewa kwamba haya ni machaka ya watu kulipwa mishahara.
 
Rwanda size ya Mkoa wa Tabora wana RAIS na WAZIRI MKUU... Zanzibar size ya wilaya ya Kigamboni wana RAIS, Makamu wawili na Baraza la Mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, vikosi vya JKU, KMKM na Mambo chungu mbovu
Nchi hii ina fedha Nyingi ya watawala kula ila sio kuleta maendeleo kwa wananchi . Inasikitisha sana kwa kweli
 
sisi tuna mpaka makamu wa waziri mkuu, wote hawa wanagawana kodi zetu!
 
Waziri asiye na wizara kama George Mkuchika.

Ila George Mchika hataki kuachia majengo ya Serikali kila awamu yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…