Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
- Thread starter
-
- #21
Harassment ya walinzi, waliokuwa wanazuiwa kutoka nje."Haturudi tena. Tunaenda kujiunga na Chadema" "Ujinga namna Ile halafu wanategemea mtu atampigia kura yule?" Ina maana walichokifata hakikueleweka au mic za ccm ndo ziliwakera?
Pale watu walikuwa wanazuiwa kupiga picha. Sasa picha zote hizi lazima zitiliwe mashaka.Mbona mnatabu sana, hii nyomi ukitoka ww ni kama sisimizi imetoka
Wangeazima spika za Msikitini.Wangeazima hata speaker za Mwamposa...
Ukweli kuna mambo sio sawa tukiwa wakweli kwenye Saut na Uduma ya Choo !!!Dingi bana!!
Hukumsikia alicho sema Polepole?Mm Wala Hata sijisumbui kupiga hata kula .......
Serikali ya chama Gani ilivifungia🤣🤣Samia ameongea,ameanza kwa kujisifu jinsi Serikali ilipoanza kazi ilikuta vyombo vingi vya habari vimefungiwa,ikavirudisha kazini vyote.
Licha ya hivyo; hivi vyombo vinavyo semwa kufunguliwa, vimefunguliwa kueneza taarifa za Samia na Genge lake.Yeye hakuwa sehemu ya serikali iliyofungia vyombo vingi vya habari?
Nyie mambwa wa huku mitandaoni mmeshazoeleka, ni washama malimbukeni, wazushi, waongo, siasa za kipumbavu, ht mjinyee haitawasaidia. Sijui unamdanganya nani wakati watu tulifuatia mwanzo mwisho. Rais asingefika tokea asubuhi we ngedere. Nyie nyumbu mmekimbia uchaguzi kinachowawasha ni mikundu?Spika zilikuwa siyo nzuri au more specifically Samia alipokwenda kwenye podium hawakutayarisha vizuri
Halafu nimefika pale nimeona watu wanazuiwa kupiga picha. Mtu mmoja amekamatwa na mtu kavaa kiraia,kaulizwa kwa nini unapiga picha? Akamshika ,anaanza kumkokota,aondoke naye.Akasema bado hajapiga picha. Jamaa kamnyang'anya simu akaikagua, halafu akaona kweli hajapiga picha. Akamrudishia simu yake.
Halafu walikuwa wanabishana pale. CCM wengine walikuwa wamefika mapema sana,kwa sababu zile shughuli zilianza saa moja asubuhi. Walifika mapema kwa hiyo walikuwa wanataka kuondoka. Lakini walikuwa wanazuiwa kuondoka.
Baada ya dakika kumi au kumi na tano za kumsikiliza Samia,nikaamua kuondoka,kuondoka mapema.
Nimetembea kidogo ghagla nikaona makundi makubwa ya watu wanatoka katika mkutano,wale watu waliokuwa wamezuiwa baadaye waliruhusiwa.
Nikataka kuuliza kwani Samia kamaliza kuongea? Nikaamua, probably ameamua kumaliza mapema,kwa sababu watu waliokuwa wanatoka walikuwa wengi.
Hawa watu walikuwa red hot with anger.
"Haturudi tena. Tunaenda kujiunga na Chadema" "Ujinga namna Ile halafu wanategemea mtu atampigia kura yule?"
Baadaye nimekwenda nimefika mbali kidogo nikasikia kama tangazo la kumsalza mkutano..
Nikamuuliza kijana mmoja wa Kijani, Mkutano umekwisha au vipi?
Akasema Samia yupo kule mpaka sasa ,ila sasa ndiyo anajitayarisha kuondoka."
Nikamuuliza yule kijana,huyu kijana labda ni teenager,labda ni UVCCM.,"Kwa hiyo watu wameondoka,wamemdharau Samia.?"
Akasema,"Well,er..,I wouldn't put it that way." Halafu akaenda kupanda basi la Chama.
Lakini jambo hilo tu moja nilitaka kusema. Warekebishe mic vizuri,waweke spika nzuri.
Samia ameongea,ameanza kwa kujisifu jinsi Serikali ilipoanza kazi ilikuta vyombo vingi vya habari vimefungiwa,ikavirudisha kazini vyote.
Na Bado, nyumbu mtahangaika mpaka maji muite mmaSpika zilikuwa siyo nzuri au more specifically Samia alipokwenda kwenye podium hawakutayarisha vizuri

Dingi akilewa huwa anaenda kwemye kaburi la mzee na kuanza kulia akiona namna anavyoishi comparing na akina Abdul kisha huanza kumfanyia vurugu Mama Maria ndio maana kuna nyuzi zake humu za yeye akilalamika kufukuzwa nyumbani kwao na MaDC wa Butiama pamoja na Mapolisi.Dingi bana!!
Vyote ubatili tu..Spika zilikuwa siyo nzuri au more specifically Samia alipokwenda kwenye podium hawakutayarisha vizuri