Sisi tuliochagua wapinzani tumekatiwa umeme na maji. Vipi upande wenu huko majimbo yanayopendwa na serikali?

Sisi tuliochagua wapinzani tumekatiwa umeme na maji. Vipi upande wenu huko majimbo yanayopendwa na serikali?

Sisi tuliochagua ccm tunatembelea mavi eight, na maji kwetu yanatoka saa14 tunamwagilia ukoka kila baada ya nusu saa na kuoshea nyumba na mbwa wetu!
Mliowachagua wapinzani isomeni namba tu,mlishindwa kuchagua maendeleo
Namba tunaisoma kweli kweli. Kwa joto hili hata kwichi kwichi hainogi.
 
Mbona 2015 hadi 2020 hatukuongozwa na chama chochote na mambo yalikwenda.

Vyama vinatuchelewesha sana.

Kuvunja jengo la Tanesco ubungo ilikuwa Sera ya chama?

Kujenga lile daraja baharini salenda ilikuwa Sera ya chama?

Kuwavunjia nyumba kimara nakuwaacha wa mwanza zilikuwa Sera za chama?
 
Hay ndio madhara sasa kama ulikuwa hujui. Zile zilikuwa hadaa za kipindi kifupi tu.
 
Ukisema utasikia wao hawajaleta ukame, hii ndiyo thinking ya watu wenye low IQ na ndo wamejazana huko kwenye uongozi
 
Hii ni laana ya damu za watu wasio na hatia zilizokwisha chini utawala wa kishetani wa Magufuli na wasaidizi wake. Uharamia katika chaguzi nk, sasa wanaumbuka kweupe
 
Ukisema utasikia wao hawajaleta ukame, hii ndiyo thinking ya watu wenye low IQ na ndo wamejazana huko kwenye uongozi......
Kawaida Yao wakifika geti la kijani wanasalimisha mbongo zao, kwani wanaambiwa hawataziihitaji Tena.
 
Hii ni laana ya damu za watu wasio na hatia zilizokwisha chini utawala wa kishetani wa Magufuli na wasaidizi wake. Uharamia katika chaguzi nk, sasa wanaumbuka kweupe
Aibu tupu kila kona. Kuna wanaccm wameshaaanza kukana chama chao. Nasi tunawaona tunawabagaza tu.
 
Back
Top Bottom