- Thread starter
- #21
Ndio ndio atatuvushaCCM tunasubiri 2025 tumpe mama kura za kutosha...😊😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ndio atatuvushaCCM tunasubiri 2025 tumpe mama kura za kutosha...😊😊
Namba tunaisoma kweli kweli. Kwa joto hili hata kwichi kwichi hainogi.Sisi tuliochagua ccm tunatembelea mavi eight, na maji kwetu yanatoka saa14 tunamwagilia ukoka kila baada ya nusu saa na kuoshea nyumba na mbwa wetu!
Mliowachagua wapinzani isomeni namba tu,mlishindwa kuchagua maendeleo
Mama ni Rais kupitia tiketi ya TLPKwani mama yupo upinzani kumbe?
Hay ndio madhara sasa kama ulikuwa hujui. Zile zilikuwa hadaa za kipindi kifupi tu.Mbona 2015 hadi 2020 hatukuongozwa na chama chochote na mambo yalikwenda.
Vyama vinatuchelewesha sana.
Kuvunja jengo la Tanesco ubungo ilikuwa Sera ya chama?
Kujenga lile daraja baharini salenda ilikuwa Sera ya chama?
Kuwavunjia nyumba kimara nakuwaacha wa mwanza zilikuwa Sera za chama?
Tulia hivyo hivyo.Tutaendelea kuongozwa na CCM kwa sababu nchi hii hakuna chama mbadala. Bora CCM mara mia.
Kenge watakapokuwa wasikivu tutapngea lugha Moja..tulia hivyo hivyo.
Hayo ya kwenu wenyewe maccm na kambi zenu hatarisha za Sukuma Gang vs Msoga Gang.Si mlisema mama anaupiga mwingi anawakomesha mataga na sukuma gang?
Huko kwenu upo eeh?Kwa hiyo huu umeme unakatika kwa mataga na sukuma gang tu?
Hongereni mabavicha mko vizuri
Watajuana wasituweke na sisi. Wayamalize mambo yao.Hayo ya kwenu wenyewe maccm na kambi zenu hatarisha za Sukuma Gang vs Msoga Gang.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
😅😅😅😅Ngapi hukooo, akasika mlevi mmoja," tatu bilaaa"😂
Sana tuuHuko kwenu upo eeh??
Hongera sana matagaSana tuu
Kawaida Yao wakifika geti la kijani wanasalimisha mbongo zao, kwani wanaambiwa hawataziihitaji Tena.Ukisema utasikia wao hawajaleta ukame, hii ndiyo thinking ya watu wenye low IQ na ndo wamejazana huko kwenye uongozi......
Taaga ziko humu zinaugulia maumivu ya umeme na maji, Mimi simo🤔.Hongera sana mataga
Aibu tupu kila kona. Kuna wanaccm wameshaaanza kukana chama chao. Nasi tunawaona tunawabagaza tu.Hii ni laana ya damu za watu wasio na hatia zilizokwisha chini utawala wa kishetani wa Magufuli na wasaidizi wake. Uharamia katika chaguzi nk, sasa wanaumbuka kweupe