Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wacha kutudanganya, governments can borrow money to finance recurrent expenditure from financial institutions ... go ask your finance minister..
Alafu haya madeni Tanzania huchukua hayaendi direct kwa project kama vile Kenya hufanya... Haya Madeni yanaenda kwa account ya serekali kuu.... Yani GoT inapokea huo mkopo na inaamua vile itatumia hizo pesa , kwahivyo hata ule wakati hua wanasema wanajenga kwa "cash" ..... hio cash hua ni mchanganyiko wa pesa za ndani na mikopo!
Are bonds not a way of borrowing from the public?
No! Please educate meAhaaa haaa haaa
Whaaat? Do you know how public finance operates?
Between TZ and KE which is a banana republic when it comes to transparency ...didn't your dictator order soldiers to buy Korosho on the road side,, was there a budget item?? was he questioned ??
Uhuru jambo kama hilo hawezi kufanya..
No! Please educate me
''You don't education'' hahahahaha lugha za watu hizi jamani kwani ukiandika kiswahili unahisi tutasema hujasoma hahahahah
Wewe kichwa yako ni matope unatupotezea step bure, ujinga wako wa kutojua mambo usituambukize, hivi unadhani serikali chanzo chake cha mapato ni TRA peke yake?. Ujinga wako peleka huko, japo TRA ndio chanzo kikubwa, lakini serikali inavyanzo vingi sana vya mapato.Miradi zipi mnatumia pesa za ndani? Kama TRA inakusanya trillion 14 hamjawahi kuvuka hapo ,deni trillion 9 , mshahara trillion 7 mna nakisi ya trillion 2 mbona hamuambii watanzania Ukweli ?,hizo pesa za SGR ,Rufiji,kibaha highway zinatoka wapi? Nyie Serikali ya awamu ya tano mbona hamuambii watanzania Ukweli? Eti kua mzalendo ni kuishi kwenye umasikini , mbona wale viongozi wenu wanaendesha V8 , kwani sio wazalendo ? Mseme Ukweli muache huu ushabiki wa kijinga Tanzania hali si nzuri ,kule mtwara ,Lindi ,njombe wafanya biashara wanafunga biashara halafu wakilalama wanaambiwa eti walikua wapiga dili.
Tanzania pesa hamna.....majigambo tu eti pesa za ndani....ndo maana anaenda kutafuta soko Kwa nchi zilizokufa kiuchumi kama Zimbabwe......Kataryst economy!!Wewe kichwa yako ni matope unatupotezea step bure, ujinga wako wa kutojua mambo usituambukize, hivi unadhani serikali chanzo chake cha mapato ni TRA peke yake?. Ujinga wako peleka huko, japo TRA ndio chanzo kikubwa, lakini serikali inavyanzo vingi sana vya mapato.
Unapotoa makusanyo ya TRA kwa mwaka, huo ni ukichaa na uwendawazimu wa kutojua mambo, watu kama wewe wapo wengi sana hasa kule Bungeni. Ngoja nikutoe ujinga. Kazi ya Kipande cha Dar- Moro kinagharimu $1.2B lakini kitajengwa kwa miaka 3. Mkandarasi anatanguliziwa 25% tu, mwanzoni, ambayo ni kama $300M, pesa yote iliyobaki atalipwa baada ya kukabidhi kazi. Kwa maana hiyo, Serikali kila mwaka inatenga $500M, baada ya miaka mitatu ni $1.5B.
what finance do you know? have you ever heard ofAhaaa haaa haaa
Kama hujui finance bro bora ukae kimya.
Mbona inajulikana...... Miradi amabyo ni mikopo Tz inasemaga ni mkopo mfanoAlafu haya madeni Tanzania huchukua hayaendi direct kwa project kama vile Kenya hufanya... Haya Madeni yanaenda kwa account ya serekali kuu.... Yani GoT inapokea huo mkopo na inaamua vile itatumia hizo pesa , kwahivyo hata ule wakati hua wanasema wanajenga kwa "cash" ..... hio cash hua ni mchanganyiko wa pesa za ndani na mikopo!
what finance do you know? have you ever heard of
Treasury Bonds
good, now use the knowledge wellAhaaa haaa haaa
Siyo hiyo tu, najua pia financial markets and institutions.
He missed the word "need" in between there.Sio grammatical error tu ila sijaelewa hata ameandika nn hiyo sentensi yake ya kwanza
He missed the word "need" in between there.
There's no grammatical error there wewe bongolala.
Talk of a bongolala teaching English, hahahaha.
Full vituko.
Hivyo vyanzo ndio ungeviweka hapa tatizo nyie wazalendo wa CCM akili hamna mna shabikia kijinga tu. Umeshindwa kuorodhesha hata chanzo kimoja tofauti na TRA halafu unakuja hapa kutoa povu na kushabikia ccm ambayo haijafanya chochote? Kweli we ni kiazi.Wewe kichwa yako ni matope unatupotezea step bure, ujinga wako wa kutojua mambo usituambukize, hivi unadhani serikali chanzo chake cha mapato ni TRA peke yake?. Ujinga wako peleka huko, japo TRA ndio chanzo kikubwa, lakini serikali inavyanzo vingi sana vya mapato.
Unapotoa makusanyo ya TRA kwa mwaka, huo ni ukichaa na uwendawazimu wa kutojua mambo, watu kama wewe wapo wengi sana hasa kule Bungeni. Ngoja nikutoe ujinga. Kazi ya Kipande cha Dar- Moro kinagharimu $1.2B lakini kitajengwa kwa miaka 3. Mkandarasi anatanguliziwa 25% tu, mwanzoni, ambayo ni kama $300M, pesa yote iliyobaki atalipwa baada ya kukabidhi kazi. Kwa maana hiyo, Serikali kila mwaka inatenga $500M, baada ya miaka mitatu ni $1.5B.