Sisi tunajenga kwa pesa za ndani!

Sisi tunajenga kwa pesa za ndani!

Alafu haya madeni Tanzania huchukua hayaendi direct kwa project kama vile Kenya hufanya... Haya Madeni yanaenda kwa account ya serekali kuu.... Yani GoT inapokea huo mkopo na inaamua vile itatumia hizo pesa , kwahivyo hata ule wakati hua wanasema wanajenga kwa "cash" ..... hio cash hua ni mchanganyiko wa pesa za ndani na mikopo!
 
Wacha kutudanganya, governments can borrow money to finance recurrent expenditure from financial institutions ... go ask your finance minister..

Ahaaa haaa haaa
Loans to finance the salaries, duu uchumi uliosoma ni KIBOKO,
 
Alafu haya madeni Tanzania huchukua hayaendi direct kwa project kama vile Kenya hufanya... Haya Madeni yanaenda kwa account ya serekali kuu.... Yani GoT inapokea huo mkopo na inaamua vile itatumia hizo pesa , kwahivyo hata ule wakati hua wanasema wanajenga kwa "cash" ..... hio cash hua ni mchanganyiko wa pesa za ndani na mikopo!

Ahaaa haaa haaa
Whaaat? Do you know how public finance operates?
 
Between TZ and KE which is a banana republic when it comes to transparency ...didn't your dictator order soldiers to buy Korosho on the road side,, was there a budget item?? was he questioned ??

Uhuru jambo kama hilo hawezi kufanya..

Ahaaa haaa haaa
Hivi nanyie seriously mnasema mna RAIS. Yaani unasema uhuru ni RAIS kabisa??
Muulize awashughulikie waliokula hela za mabwawa.
 
Miradi zipi mnatumia pesa za ndani? Kama TRA inakusanya trillion 14 hamjawahi kuvuka hapo ,deni trillion 9 , mshahara trillion 7 mna nakisi ya trillion 2 mbona hamuambii watanzania Ukweli ?,hizo pesa za SGR ,Rufiji,kibaha highway zinatoka wapi? Nyie Serikali ya awamu ya tano mbona hamuambii watanzania Ukweli? Eti kua mzalendo ni kuishi kwenye umasikini , mbona wale viongozi wenu wanaendesha V8 , kwani sio wazalendo ? Mseme Ukweli muache huu ushabiki wa kijinga Tanzania hali si nzuri ,kule mtwara ,Lindi ,njombe wafanya biashara wanafunga biashara halafu wakilalama wanaambiwa eti walikua wapiga dili.
Wewe kichwa yako ni matope unatupotezea step bure, ujinga wako wa kutojua mambo usituambukize, hivi unadhani serikali chanzo chake cha mapato ni TRA peke yake?. Ujinga wako peleka huko, japo TRA ndio chanzo kikubwa, lakini serikali inavyanzo vingi sana vya mapato.

Unapotoa makusanyo ya TRA kwa mwaka, huo ni ukichaa na uwendawazimu wa kutojua mambo, watu kama wewe wapo wengi sana hasa kule Bungeni. Ngoja nikutoe ujinga. Kazi ya Kipande cha Dar- Moro kinagharimu $1.2B lakini kitajengwa kwa miaka 3. Mkandarasi anatanguliziwa 25% tu, mwanzoni, ambayo ni kama $300M, pesa yote iliyobaki atalipwa baada ya kukabidhi kazi. Kwa maana hiyo, Serikali kila mwaka inatenga $500M, baada ya miaka mitatu ni $1.5B.
 
Tanzania pesa hamna.....majigambo tu eti pesa za ndani....ndo maana anaenda kutafuta soko Kwa nchi zilizokufa kiuchumi kama Zimbabwe......Kataryst economy!!
 
Alafu haya madeni Tanzania huchukua hayaendi direct kwa project kama vile Kenya hufanya... Haya Madeni yanaenda kwa account ya serekali kuu.... Yani GoT inapokea huo mkopo na inaamua vile itatumia hizo pesa , kwahivyo hata ule wakati hua wanasema wanajenga kwa "cash" ..... hio cash hua ni mchanganyiko wa pesa za ndani na mikopo!
Mbona inajulikana...... Miradi amabyo ni mikopo Tz inasemaga ni mkopo mfano
1.bRT phase 1 ni 180mil usd mkopo
2.Brt phase 2 ni mkopo 140mil usd..na hela za ndan 25mil usd Tz
3.DMDP mkopo 600mil usd
4.Dar port expansion mkopo 650mil usd hela za ndan 40mil usd
5. New selander bridg 80% mkopo 20% za ndan
 
Sio grammatical error tu ila sijaelewa hata ameandika nn hiyo sentensi yake ya kwanza
He missed the word "need" in between there.
There's no grammatical error there wewe bongolala.
Talk of a bongolala teaching English, hahahaha.
Full vituko.
 
tatizo sio tanzania kukopa...swali ni je...wamekopa hzo hela kufanyia nini...watu wa pesa za ndani hamjambo...
ni sawa na ukope hela benki halafu uende show room ukachukue mnyama wa nguvu km vile bmw i8...ovias pale show room utajiringa...utaanza hta kuwaringishia jamaa km una hela,na ni kweli hela ni zako na unaweza ukajisifia uko na hela...tatizo sasa payslip yako ndio itakuwa inaumia....
ile siku magu ateleza hilo deni km limetumika kutengeza miradi gani au jamaa mlete hyo miradi na log off
 
Hilo neno need lililokosekana ndio limefanya sentensi yake isieleweke au wee nambie hiyo sentensi yake inamaanisha nn?? Afu usimjudge mtu usiemjua Anko hicho kingereza ndio lugha rahisi kuliko zote nizijuazo..
Huyo Ndugu yako inaweza kuwa kakosea kutoweka hilo neno ulosema..BT mi nimeongelea sentensi niliyoisoma we unaona ipo sahihi???
He missed the word "need" in between there.
There's no grammatical error there wewe bongolala.
Talk of a bongolala teaching English, hahahaha.
Full vituko.
 
Ilipe na madeni/ madai mbalimbali ya Watumishi ikiwa ni pamoja na malimbikizo ya mishahara yaliyotokana na kupandishwa vyeo,kurejeshwa mishahara baada ya mashauri mbalimbali ya kinidhamu yaliyokuwa yakiwakabili watumishi kumalizika
 
Wewe kichwa yako ni matope unatupotezea step bure, ujinga wako wa kutojua mambo usituambukize, hivi unadhani serikali chanzo chake cha mapato ni TRA peke yake?. Ujinga wako peleka huko, japo TRA ndio chanzo kikubwa, lakini serikali inavyanzo vingi sana vya mapato.

Unapotoa makusanyo ya TRA kwa mwaka, huo ni ukichaa na uwendawazimu wa kutojua mambo, watu kama wewe wapo wengi sana hasa kule Bungeni. Ngoja nikutoe ujinga. Kazi ya Kipande cha Dar- Moro kinagharimu $1.2B lakini kitajengwa kwa miaka 3. Mkandarasi anatanguliziwa 25% tu, mwanzoni, ambayo ni kama $300M, pesa yote iliyobaki atalipwa baada ya kukabidhi kazi. Kwa maana hiyo, Serikali kila mwaka inatenga $500M, baada ya miaka mitatu ni $1.5B.
Hivyo vyanzo ndio ungeviweka hapa tatizo nyie wazalendo wa CCM akili hamna mna shabikia kijinga tu. Umeshindwa kuorodhesha hata chanzo kimoja tofauti na TRA halafu unakuja hapa kutoa povu na kushabikia ccm ambayo haijafanya chochote? Kweli we ni kiazi.
 
Back
Top Bottom