Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Wewe tatizo lako unaona TRA ni kama kitengo kingine tu hakina uhusiano na treasurer,ila huku kwetu KRA ni kitengo ndani ya treasurer na ndio kimepewa mamlaka ya kukusanya mapato yote ya serikali na kufanya uhasibu kuhakikisha kua mapato yote kutoka Kwa mashirika yote ya kiserikali yametumua Kwa hazina jinsi yalivyokusanywa. Hili linaweza kua tofauti maana hizi ni nchi tofauti zenye mifumo tofauti ya uongozi.Huu ni mfano mwengine kukuonyesha kwamba, MAHAKAMA ikishakamata na kufilisi Mali, inawasiliana moja kwa moja na section husika katika wizara ya fedha, sio TRA, kwa mfano hizi NYUMBA wakiamua kuziuza, zitauzwa na hicho kitendo husika na pesa itaenda Treasury moja kwa moja bila kupitia TRA, hizo pesa hazitoonekana katika vitabu vya TRA.