Sisi tunajenga kwa pesa za ndani!

Sisi tunajenga kwa pesa za ndani!

Huu ni mfano mwengine kukuonyesha kwamba, MAHAKAMA ikishakamata na kufilisi Mali, inawasiliana moja kwa moja na section husika katika wizara ya fedha, sio TRA, kwa mfano hizi NYUMBA wakiamua kuziuza, zitauzwa na hicho kitendo husika na pesa itaenda Treasury moja kwa moja bila kupitia TRA, hizo pesa hazitoonekana katika vitabu vya TRA.
Wewe tatizo lako unaona TRA ni kama kitengo kingine tu hakina uhusiano na treasurer,ila huku kwetu KRA ni kitengo ndani ya treasurer na ndio kimepewa mamlaka ya kukusanya mapato yote ya serikali na kufanya uhasibu kuhakikisha kua mapato yote kutoka Kwa mashirika yote ya kiserikali yametumua Kwa hazina jinsi yalivyokusanywa. Hili linaweza kua tofauti maana hizi ni nchi tofauti zenye mifumo tofauti ya uongozi.
 
Matajiri wataishi kama MASHETANI awamu ya 5.
 
Wewe tatizo lako unaona TRA ni kama kitengo kingine tu hakina uhusiano na treasurer,ila huku kwetu KRA ni kitengo ndani ya treasurer na ndio kimepewa mamlaka ya kukusanya mapato yote ya serikali na kufanya uhasibu kuhakikisha kua mapato yote kutoka Kwa mashirika yote ya kiserikali yametumua Kwa hazina jinsi yalivyokusanywa. Hili linaweza kua tofauti maana hizi ni nchi tofauti zenye mifumo tofauti ya uongozi.
Ni kweli kabisa, huku kwetu TRA japo ipo chini ya usimamizi wa wizara ya fedha, lakini inajitegemea, TRA inafanyakazi kama wakala wa wizara ya fedha ambaye jukumu lake ni kukusanya kodi za serikali na kuziwakilisha Treasurer tu, TRA haina mamlaka ya kwenda kuchukua faida iliyotengenezwa na mashirika ya serikali kama ATCL, TTCL, BRT au katika migodi ambako Serikali ni shareholder na kuzipeleka Treasurer, kwasababu hizo pesa hazitokani na kodi.

Kwahiyo kama nilivyosema kwamba, sio pesa yote ya serikali inaonekana katika mapato ya TRA, kwahiyo watu wanafanya makosa kidogo wanapotoa taarifa ya makusanyo ya TRA na kulinganisha matumizi ya nchi, hivi vyanzo vingine vya mapato, vinachangia zaidi ya 20% ya mapato ya TRA.
 
Mbona anafanya mengi ya hovyo lakini hamumfanyi kitu??? Hivi hayo maufisadi na mirushwa Kenya rais wenu angekua serious Mbona mngekua mbali sanaa BT rais Uhuru mwenyewe anawaogopa mafisadi saa sijui nani atamfunga paka kengele
Bado tuko mbali Sana kwa sababu number yetu mnasoma karibu kwa kila kitu
 
Bado tuko mbali Sana kwa sababu number yetu mnasoma karibu kwa kila kitu
Ndio kitu pekee mkonacho, kusema tuko mbali. Mlikua na biggest airport, sasa hivi hiyo ni historia. Zaidi ya kusema mko mbali hamna kitu cha kuonyesha " on ground ".
 
The GF comprises monies from all sources of revenue except loans.
So you mention one source of govt monies and suddenly we are supposed to forget that GOT takes an avg external loan of more than $2B every year to complements its budget?
 
Back
Top Bottom