Mboju
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 283
- 727
Wakuu habari za mida hii, wanasemaga usiache fursa ikapita bila kuichungulia, hichi ni kipindi cha kampeini na uchaguzi
Tunaomba basi ajira za kuhamasisha watu kupiga kura iwe nyumba kwa nyumba kanisani na misikitini au maeneo yenye mikusanyiko tutafika
Dau langu ni dogo tu 150000 inanitosha nitahamasisha kuanzia nyumba hadi nyumba na sehemu zote naomba mwenye connection tujuzane basi