Sisi Utopolo tumeshinda ila hatuna raha

Sisi Utopolo tumeshinda ila hatuna raha

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Maana si kwa pira lile tulilopigiwa, tunaamini kabisa kule south tunaenda kukamilisha ratiba tu.

Kinachokwenda kuiua Yanga kule south ni hivi hapa chini...

1. Game plan yao, ukiwaangalia vizuri jamaa waliamua kulinda wasiruhusu magoli ugenini kwa kumiliki mpira na waliweza kufanya hivyo katika kipindi cha kwanza,kilichowaponza ni kuona kuwa wanawamudu yanga hivyo kuamua kushambulia zaidi ili wapate angalau magoli ugenini ili kazi iwe rahisi nyumbani ...matokeo yake BOOOOOOOMMMM

2. Kadi za njano za BANGALA, AUCHO na JOB zitapelekea utopolo wacheze kwa uangalifu sana katika game itakayopigwa south maana kuna uwezekano wa kupatikana kwa red card kutokana na aina ya soka lao hao jamaa wanamiliki sana mpira na ni maballdancer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

3. Morrison ni wa hapahapa havuki boda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Utabiri wangu game itaisha kwa aggregate ya Yanga 2 MALUMO GARRANTS 4.

TWENZETU KWA MADIBA.......
FB_IMG_1683650857677.jpg
 
Maana si kwa pira lile tulilopigiwa ,tunaamini kabisa kule south tunaenda kukamilisha ratiba tu,

Kinachokwenda kuiua Yanga kule south ni hivi hapa chini...

1. Game plan yao,ukiwaangalia vizuri jamaa waliamua kulinda wasiruhusu magoli ugenini kwa kumiliki mpira na waliweza kufanya hivyo katika kipindi cha kwanza,kilichowaponza ni kuona kuwa wanawamudu yanga hivyo kuamua kushambulia zaidi ili wapate angalau magoli ugenini ili kazi iwe rahisi nyumbani ...matokeo yake BOOOOOOOMMMM

2.Kadi za njano za BANGALA,AUCHO na JOB zitapelekea utopolo wacheze kwa uangalifu sana katika game itakayopigwa south maana kuna uwezekano wa kupatikana kwa red card kutokana na aina ya soka lao hao jamaa wanamiliki sana mpira na ni maballdancer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

3.Morrison ni wa hapahapa havuki boda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Utabiri wangu game itaisha kwa aggregate ya

Yanga 2 MALUMO GARRANTS 4

TWENZETU KWA MADIBA.......View attachment 2617031

Nikikwambia mpira hujui huwa unabisha, sasa angalia ulichoandika.

umeonesha kuwa madhaifu ya Marumo Gallants hadi kupelekewa kufungwa ni kutaka kushambulia ili wapate magoli. Sasa embu fikiria kwao je watapaki bus ili wasifungwe? Au watashambilia kama walivyofanya hapa na kupelekea kufungwa tena huko huko kwao?
 
Maana si kwa pira lile tulilopigiwa, tunaamini kabisa kule south tunaenda kukamilisha ratiba tu.

Kinachokwenda kuiua Yanga kule south ni hivi hapa chini...

1. Game plan yao, ukiwaangalia vizuri jamaa waliamua kulinda wasiruhusu magoli ugenini kwa kumiliki mpira na waliweza kufanya hivyo katika kipindi cha kwanza,kilichowaponza ni kuona kuwa wanawamudu yanga hivyo kuamua kushambulia zaidi ili wapate angalau magoli ugenini ili kazi iwe rahisi nyumbani ...matokeo yake BOOOOOOOMMMM

2. Kadi za njano za BANGALA, AUCHO na JOB zitapelekea utopolo wacheze kwa uangalifu sana katika game itakayopigwa south maana kuna uwezekano wa kupatikana kwa red card kutokana na aina ya soka lao hao jamaa wanamiliki sana mpira na ni maballdancer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

3. Morrison ni wa hapahapa havuki boda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Utabiri wangu game itaisha kwa aggregate ya Yanga 2 MALUMO GARRANTS 4.

TWENZETU KWA MADIBA.......View attachment 2617031
Mpira mwingi maneno kidogo mtateseka sana mwaka huu
 
Kina dada hebu jikiteni na vikoba mpira utawaumiza na presha za bure..., Nani kakwambia hatua Kama hizi mtu anahitaji kumiliki au kucheza mpira mzuri?. Hatua za mtoa kinachokupa furaha shabiki sio kucheza vizuri bali noatokeo tu, afu jifunzeni kuikubali Hali halisi ya sasa kuwa Yanga ndio timu inayofanya vizuri ndani na nje.

Sonona ni gonjwa baya linakowanyemelea ndundukwa fc😅
 
Maana si kwa pira lile tulilopigiwa ,tunaamini kabisa kule south tunaenda kukamilisha ratiba tu,

Kinachokwenda kuiua Yanga kule south ni hivi hapa chini...

1. Game plan yao,ukiwaangalia vizuri jamaa waliamua kulinda wasiruhusu magoli ugenini kwa kumiliki mpira na waliweza kufanya hivyo katika kipindi cha kwanza,kilichowaponza ni kuona kuwa wanawamudu yanga hivyo kuamua kushambulia zaidi ili wapate angalau magoli ugenini ili kazi iwe rahisi nyumbani ...matokeo yake BOOOOOOOMMMM

2.Kadi za njano za BANGALA,AUCHO na JOB zitapelekea utopolo wacheze kwa uangalifu sana katika game itakayopigwa south maana kuna uwezekano wa kupatikana kwa red card kutokana na aina ya soka lao hao jamaa wanamiliki sana mpira na ni maballdancer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

3.Morrison ni wa hapahapa havuki boda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Utabiri wangu game itaisha kwa aggregate ya

Yanga 2 MALUMO GARRANTS 4

TWENZETU KWA MADIBA.......View attachment 2617031
Tatizo ni kuwa Yanga lazima atapata goli Africa Kusini. Kwa huu uchezaji wa Malumo nakupa pole wewe na mashabiki wenzako wa Malumo. Tatizo hamtaki kukubali ubora wa Yanga, mwisho wa siku mnaitwa Mwakarobo.
 
Back
Top Bottom