Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Ukichunguza mitambo yote iliyopo duniani, utagundua imetengenezwa na wazungu, wachina, wajapani n.k
Sasa najiuliza, sisi waafrika pamoja na ndugu zetu waarabu, tumetengeneza mitambo ipi hapa duniani?
Kwa sababu nikiangalia ata kitendea kazi changu cha kukwangulia nyanya hapa jikoni, naona nacho kimetoka china; nikiangalia njiti za meno, nazo zimetoka china n.k; sasa sisi watu weusi pamoja na marafiki zetu waarabu tumetengeneza nini katika hii dunia?
Au ubongo wetu ni tofauti na hawa wavumbuzi? Je, tutakumbukwa kwa lipi?
Nipeni jibu tafadhali!