Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

Tatizo ni katiba kumpa Rais umungumutu. Inabidi walio karibu wajipendekeze kutafuta teuzi na kulinda matumbo yao.
Kwa watashangilia tu.
 
Babako akifa you mean hutamtaja sehemu that alikuwepo babako hivi na vile?.

Why huko unapoabudu unafanya refference ya mtume wako as dead body and spiritual why are going to praise and prostration?
 
Huwezi kubadili mfumo kwa kutumia watu walewale. Magufuli angekuwa sip mwizi basi angeua CCM n kuunda chama Cha style mpya.

Hata anayetaka kuja kutumia mfumo wa Magufuli hataweza sababu CCM Wana mfumo wao wamejiweka Kama mabwanyenye na chama Cha wapigaji you can't win the game.
 
Ndiyo shida ya mwafrica jamaa yangu!! omba omba hata ukimpa mipesa mingi bado atarudi mitaani kuomba omba.!! Misaada kama haina masharti ya kipumbafu kama kuwatambua mashoga etc ,acha iletwe maana walituibia dhahabu kwa miaka mingi sana.Hela zao zikija tuzipige tu hamna namna๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mie nadhani anazungumza ukweli kabisa, kuchokozana na jumuiya za kimataifa na kufanya ubabe sioni kama ina tija yoyote kwa taifa changa. Sisemi kila wanachotaka tuwe tunakubali tuu, nao ni watu wajanja vile vile wanaweza kutumia upenyo huo kujinufaisha.

All in all JPM nadhani amefariki na kuwa mfuasi au mpenzi nadhani itakuwa unajisumbua akili tuu. Nadhani unatakiwa kujadili kilichopo mbele na kutafakari kama kina maslahi na taifa.

Samia nadhani anafanya vizuri tuu kama kiongozi wa taifa, sema tuu niwashauri watanzania wasijipweteke (kuridhika). Matatizo yaliokuwapo wakati wa Magufuli yapo leo vile. Ikiwa raisi anaweza kufungia chombo cha habari au chama cha siasa, naona tatizo la kimsingi la sheria zilizopo. Raisi aliweza kuinfluence hadi maamuzi ya vyombo vya elimu kama mtoto aruhusiwe kurudi shule au akae nyumbani ? Kama mnavyofurahia Samia kuwaachia watoto warudi, vile vile akija magufuli mwengine ataweza kusema kinyume chake!

Sidhani kama raisi anatakiwa awe na mamlaka katika nchi kiasi chote hicho!
 
Hawa watu wanaoishi kwa kodi zetu hawana msaada na taifa hili na hatuelew haw viongozi wa ccm wanatuchukuliaje maana tuliwai ambiw hii nchi Tajiri lkn ss tunatembez bakuli! Watz we are mentally restricted but physically liberated #tunahitaji katiba mpya tuondokane na ccm #
 

JPM ameshakwenda. Jifunze kuishi kwa wakati uliopo. Kama mke wako tu fikra zenu hazifanani itakuwa viongozi. Mwache mama afanye kadiri ya maono na uwezo Wake. KUMBUKA Pia. Hawa wazungu wanakaugonjwa kwa kuwaogopa au kuwa nafasi kubwa sana wanawake. So Tz inaweza win Pia katika huruma hiyo. Sio kwa kuendelea Ila kufanya ya msingi wakati wao nao wanafaidika. There is nothing like free lunch in Europe.
 
Kuna wakati nashawishika kutokumlaumu mama maana Ni either yupo flamed or remoted, [emoji102]
 
Mama ni JK Pro Max.
Jk aliwahi sema huko duniani fedha zimejaa, ni wewe tu kujieleza vizuri๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Kwani ukiwa nae ndio unakubaliana nae kwa kila jambo?

Hata sasa sio wote walio na Samia wanakubaliana nae kwa kila jambo.
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ.Mimi nilifurahi Sana kwa sababu ile njia ya kwenda Zimbabwe imezimwa rasmi.
 

Lkn mliponea chupuchupu 2015. Asingekuwa huyo unayemtukana sisiem ingekuwa historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ