Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja


Hii mila ilitumika kupunguza chuki na migogoro kwenye jamii

Mwanamke ukiolewa bahati mbaya ukakosa kuzaa mume anaenda kuchukua mdogo wako..... akija kuzaa basi ndio ushapata watoto wako wa damu
Wewe unakua salama na watoto wanakua salama hakuna kudhuriana
 
Upo sahihi sana. Wazee wetu wa kale waliona mbali. Kabila lenu pia wanaruhusu utaratibu kama huu?
 
CHADEMA kumpinga Samia ni kujidhalilisha tu kwa maana amefanya kazi kubwa huyu mama yetu.
Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Samia Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
 
Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Samia Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
Hao walikuwa wanatumiwa na Mabeberu sasa Mabeberu yamewaingiza king baada ya kukubali uzalendo wa Rais Samia.
 
Yule mchimbaji mdogo Laizer aliyepewa mabilion na Samia/JPM amshukuru sana Rais kwa kuwa na roho nzuri.
Wewe na familia yako kama kura zenu mlimpa msaliti wa nchi haitaathiri kitu kwa sababu Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania na tulimpigia kura kwa 98% Vijana wachache wa Chadema mwaka jana walijuta sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…