sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Kabila lolote ambalo bado linaendekeza kuoa wake wengi hukosi watu wa namna hiyo, ila sio kanuni kwa kabila flan bali ni tamaa ya mhusika.Duuuh, mpaka wahaya wanaoa mtu na dada yake wa tumbo moja?