Kadi Poa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,015 Reaction score 1,005 Jun 19, 2021 #281 Sembinga said: Hii Nchi Samia ameifanyia mambo makubwa saaana huyu mama. Click to expand... Rais Samia ni mtu mwema na yupo makini sana huyu mama yetu.
Sembinga said: Hii Nchi Samia ameifanyia mambo makubwa saaana huyu mama. Click to expand... Rais Samia ni mtu mwema na yupo makini sana huyu mama yetu.
Kazuri Kadada JF-Expert Member Joined Jul 8, 2014 Posts 536 Reaction score 435 Jun 19, 2021 #282 Kadi Poa said: Rais Samia ni mtu mwema na yupo makini sana huyu mama yetu. Click to expand... Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama Samia.
Kadi Poa said: Rais Samia ni mtu mwema na yupo makini sana huyu mama yetu. Click to expand... Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama Samia.
Teddy1 JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 213 Reaction score 201 Jun 20, 2021 #283 Kazuri Kadada said: Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama Samia. Click to expand... Watanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Samia hao Wapinzani.
Kazuri Kadada said: Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama Samia. Click to expand... Watanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Samia hao Wapinzani.
Tall Msafi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2016 Posts 230 Reaction score 231 Jun 20, 2021 #284 Teddy1 said: Watanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Samia hao Wapinzani. Click to expand... Mbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi wote.
Teddy1 said: Watanzania hatutaki siasa chafu wajifunze siasa safi za Samia hao Wapinzani. Click to expand... Mbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi wote.
Rose Gabriella JF-Expert Member Joined Oct 17, 2020 Posts 603 Reaction score 583 Jun 20, 2021 #285 Tall Msafi said: Mbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi wote. Click to expand... Rais Samia na JPM walitoa elimu bure iliyomshinda mkoloni.
Tall Msafi said: Mbowe na Mnyika wana hofu ya kushindwa na Samia Wanajua Samia lazima ashinde wezi na mafisadi wote. Click to expand... Rais Samia na JPM walitoa elimu bure iliyomshinda mkoloni.
Kisoda James JF-Expert Member Joined Jun 11, 2020 Posts 1,114 Reaction score 813 Jun 20, 2021 #286 Anna-Gabriella said: Rais Samia na JPM walitoa elimu bure iliyomshinda mkoloni. Click to expand... Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangari.
Anna-Gabriella said: Rais Samia na JPM walitoa elimu bure iliyomshinda mkoloni. Click to expand... Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangari.
Nyamambara JF-Expert Member Joined Jan 11, 2021 Posts 407 Reaction score 330 Jun 21, 2021 #287 Kisoda James said: Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangari. Click to expand... Usimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazungu.
Kisoda James said: Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangari. Click to expand... Usimfananishe Rais Samia na vitu vya hovyo kama vile Lissu kibaraka wa wazungu.