Naomba unilaumu basi... hahahahAcha kula mwa watu..huoni haya kuyazungumzia hayo
Waooo...are u Islamic?Naomba unilaumu basi... hahahah
Umesahau kwamba wenzetu pilau inapikwa siku ya sikukuu tu...alisikika mlevi fulani hiviKwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi ,tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake,ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.mfano last year ilikua iddy sijui ile yani hapa mtaani ilikua unabembelezewa mualiko,ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Wewe nilaumu kwa kutokukaribisha kuanzia ijumaa mpaka jumatatu ya paska...Waooo...are u Islamic?
Sijafungama na upande wowote...Waooo...are u Islamic?
Aa kumbe!!!??Sijafungama na upande wowote...
Changamoto ni kwamba huwa hawana imani na chakula cha waKristo. Mara huyo kuku alichinjwa na nani? Hivyo vyombo mara ya mwisho kusafishia pua na masikio ya "ng'ombe" ilikuwa lini? Mara sikukuu yenu haijulikani halafu weye ni kafiri! Unapeleka msosi ili usimangwe halafu kimwagwe? Bora kuwa "lichoyo" tu.😂😂😂😂Kwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi ,tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake,ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.mfano last year ilikua iddy sijui ile yani hapa mtaani ilikua unabembelezewa mualiko,ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Kama vipi ibuka tu...Aa kumbe!!!??
Unatqka kusema waoslam hawana mageti?Kwema wakuu?