Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Hapana,sina cha kukulaumu coz nilipaswa nifanye ivo pia...karibu keshoWewe nilaumu kwa kutokukaribisha kuanzia ijumaa mpaka jumatatu ya paska...
Mambo mengine niachie mwenyewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,sina cha kukulaumu coz nilipaswa nifanye ivo pia...karibu keshoWewe nilaumu kwa kutokukaribisha kuanzia ijumaa mpaka jumatatu ya paska...
Mambo mengine niachie mwenyewe...
Phaller wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Kuanzia kesho mnaongea kigalatia
Yeah,ngoja nisikilizie hakuna kulala hapa....Kama vipi ibuka tu...
Dogo kayumba huyuAcha kula mwa watu..huoni haya kuyazungumzia hayo
Nataka wewe ndiyo ukaribie... nikunyoshe kidogo...Hapana,sina cha kukulaumu coz nilipaswa nifanye ivo pia...karibu kesho
Fanya maamuzi...Yeah,ngoja nisikilizie hakuna kulala hapa....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna matusi ya kiutu uzima sanaUmesahau kwamba wenzetu pilau inapikwa siku ya sikukuu tu...alisikika mlevi fulani hivi
Sisi sikukuu hata ugali tunakula
Poa,nadhani saa 4 nitakuwa nishafika.ubwabwa upike wewe siyo uliopikwa na naniliu sijuiFanya maamuzi...
Nawajua hao walafi..wanaendaga na ndizi na pilipili misibaniKuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.
Tutanunua take away fast food...Poa,nadhani saa 4 nitakuwa nishafika.ubwabwa upike wewe siyo uliopikwa na naniliu sijui
🤣🤣🤣watu mna dhambiiNawajua hao walafi..wanaendaga na ndizi na pilipili misibani
Nimeanza na dompo sijui...siifahamu vizuri walinimiminia tu kidogo.Sijui upo tayari kuaibikaa maana vya kunifundisha ni vingi S...najua mambo ya mikazo tu.Ha ha haaTutanunua take away fast food...
Pombe utazikuta kama mnywaji...
Subhanallah!😂😂😂😂😂Nawajua hao walafi..wanaendaga na ndizi na pilipili misibani