Sisi Wakristo huwa ni wachoyo sana kwenye sikukuu zetu ukilinganisha na Waislamu

Sisi Wakristo huwa ni wachoyo sana kwenye sikukuu zetu ukilinganisha na Waislamu

Umesahau kwamba wenzetu pilau inapikwa siku ya sikukuu tu...alisikika mlevi fulani hivi

Sisi sikukuu hata ugali tunakula
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna matusi ya kiutu uzima sana
 
Vile mimi binafsi nisivyo zipenda tafrija sikusudii kualika wala kualikwa na yeyote.
Pasaka njema kwenu nyote.
 
Tutanunua take away fast food...

Pombe utazikuta kama mnywaji...
Nimeanza na dompo sijui...siifahamu vizuri walinimiminia tu kidogo.Sijui upo tayari kuaibikaa maana vya kunifundisha ni vingi S...najua mambo ya mikazo tu.Ha ha haa
 
Back
Top Bottom