Super Don
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,978
- 1,781
Sio kwamba ni uchoyo shida hawa waislam dini yao inakataza kushiriki kwa njia yeyote sikukuu za kikristo ila kwa upande wa ukristo huwa hamna shida.Kwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake, ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.
Mfano last year ilikua Eid sijui ile yani hapa mtaani ilikuwa unabembelezewa mualiko, ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app