Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Tunaomjua HECHE, tunasema,Pesa za HECHE ni za Haki na Halali.
Wote akina Martin Maranja Masese wana hela nzuri tu wanazozipata kwa biashara halali kabisa. Heche ana biashara zake, watu wanadhani ubunge ndiyo ilikuwa kipato pekee, wasichojua ni kwamba watu wana biashara zao na wanatengeneza hela.Tunaomjua HECHE, tunasema,Pesa za HECHE ni za Haki na Halali.
Wanaodhani hivo ni akina LEMA na Genge lakeWote akina Martin Maranja Masese wana hela nzuri tu wanazozipata kwa biashara halali kabisa. Heche ana biashara zake, watu wanadhani ubunge ndiyo ilikuwa kipato pekee, wasichojua ni kwamba watu wana biashara zao na wanatengeneza hela.