Wote akina Martin Maranja Masese wana hela nzuri tu wanazozipata kwa biashara halali kabisa. Heche ana biashara zake, watu wanadhani ubunge ndiyo ilikuwa kipato pekee, wasichojua ni kwamba watu wana biashara zao na wanatengeneza hela.