Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binafsi nimecheka..[emoji23]
Dada jitahidi tuwe tunapanda gari jamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binafsi nimecheka..[emoji23]
Dah! Nilijua post ya Mobimba Le Mutuz [emoji16]Saivi Niko kwenye range yangu natoka sakina naelekea sanawari ya juu huku road watu wananionea Sana wivu
Hili nimelihisi hata mimi..[emoji16]Ukute umeshika Bomba kwenye mwendokasi af unajisemesha tu.
Aaah hii nayo ni poverty mentality....unanunua kitu kitakacho kusaidia sio show off...
Hizi gari sizipendi mpaka Basi[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jamaa sijui hizi gari zilikukosea nini?
Kuna Comment yako siku za nyuma uliwahi kuandika kuliko mtu kununua hii gari bora anunue Mwavuli.. Nilicheka sijawahi kusahau..
Hapana mkuu ni Mimi tajiri nisiye namakuu mjini ila Nina hela mpaka najionea wivuDah! Nilijua post ya Mobimba Le Mutuz [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada jitahidi tuwe tunapanda gari jamani.
Mawazo ya mtu ya heshimiwe mwanaume uwezi kumiliki vigari ambavyo aviendani na uanaumeUmeona watu walivyo backward katika mawazo yao... Halafu ni fikira ya weusi wengi - wawe Ulaya, US...
Unaweza ukalifunika na shuka la 5 kwa 6Unanunuaje gari ambalo shati la Le King of All Social Networks linalifunika na kutosha??
Kujenga pia ni uoga wa maishahonestly sina gari japokuwa ni kitu kipo katika ratiba zangu za mwaka huu ila nakumbusha ni uduanzi mwanaume kupaki gari katika parking ya mwanaume mwenzio imean kupaki gari katika nyumba ya kupanga labda itokee kwa sababu za kikazi kuwa umepangiwa mkoani kikazi na unapaswa kuishi hukohuko ila hii michongo ya wanaume wa dar kupanga una mke na watoto na gari ni ufala, na kuna mjinga mmoja hapa jirani yangu ana crown alafu amepanga single room ya elfu arobaini, kudadeki nikikwambia mwanaume mwenye akili timamu akianza kazi za udalali ujue kawehuka watu wananiona ninamajungu, any way inshort mwaka huu umekuwa neema kwangu maana nimehamia kwangu na kwa wenye uzoefu wa magari ningependa mnijulishe kati ya foresta XT na Nissan Duals, pamoja athlethe crown ni gari ipi nzuri ya kuanzia maisha kwa sisi ambao ndio tunaanza maisha ya kuendesha gari? nadhani kwa sasa ndio gari ambazo zinanivutia
Sent from my SM-G988N using JamiiForums mobile app
Nime kuwa nasikitika sana kuona wanaume wenzangu wananaua tumidori vigari vidogo sana havina nafasi Ist,Vits na ndugu zake wakina passo n.k tupambane tutafute hela tununue BMW V8 PRADO n.k