Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

MZEE RAZA upo? Nina kibarua flan hapa nafanya nikirudi nakuja kuwajib hawa warugaruga... Wameingia humu kunanukia tu jasho lao...
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wanaume wa mikoani wakimuona uwoya wanaruka utazan wamekutana na yesu akat sie mjini anaolewa na dogo tu, juzi Roma kaja huko mmemuabudu mpk mmemtandikia zulia akat sie mjini tunakula nae juisi ya miwa kitaa
 
Kila mmoja anamadhaifu yake

Mwanaume Wa dar yupo romantic, anajua kupetipeti, anajua viwanja, anajua how to make you feel like upo peponi hahaha sijui pepo ya fordaus au IPI, ukija kwenye 6 x 6 ndo majanga unayakuta moja chali. Ingawa wengi (including me) huwa wanapenda hiyo kitu sio kuchoshana mpaka kunakuwa kwekunduuuuu unageuzia feni papate upepo maana sio Kwa umoto ule


Wamikiani mmmh, hawajui beach, hawajui club, hawajui kupetipeti, hata kutembea barabarani hawawezi, ila kwenye uwanja wapo vzr wanaweza kurudia Mara kadhaa mpaka useme basi,

According to me, napenda wanaume Wa dar, hahaaha
Nasikia ukiwa na wa Dar usikohoe wala kupiga chafya una haribu kila kitu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Posta utakuta hapa anaishi mkulu pembeni tunakaanga samaki sasa akija huko utaskia yupo ziarani
 
Waliohamishwa juzi kwenye mawizara kuja hapa kwetu Dom nao wameshakua wa mikoani?? Tujulishane ili battle liende vzr
Bado wana kamba mguuni, kila Ijumaa jioni au Jumamosi asubuhi wanarudi Dar sijui kula pweza sijui
 
MZEE RAZA upo? Nina kibarua flan hapa nafanya nikirudi nakuja kuwajib hawa warugaruga... Wameingia humu kunanukia tu jasho lao...
Ndo maana kumbe huwa mnatembea na pafyumuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] nyie
 
Wanaume wa Dar ni kama mabinti tu
Hujichubua kama wanawake
Hujipodoa kama wanawake
Kupaka nywele mafuta kama wanawake
Kusuka nywele kama wanawake
Kutoboa masikio kama mademu

Unaweza kujikuta unasalimia habari yako dada kumbe Kidume kimejipodoa kama demu
Hizi ni dalili za ushoga
[emoji15] vp mkuu...mbona unaongea ukweli badala ya utani
 
Bila kutupia angalao kapicha kamoja watu wanaweza wasielewe wanaume wa Dar ni watu wa namna gani![emoji53][emoji53][emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20171031_185432_474.JPG
    IMG_20171031_185432_474.JPG
    32 KB · Views: 27
Wanaume wa Dar mnaongea sana, matendo sifuri..

Kila mahali kibao cha waganga wa kuongeza nguvu za kiume, supu ya pweza za kubusti u.boo, juisi ya tende ya kuongeza urijali. Karanga mbichi jumlisha mihogo mibichi, dawa za wamasai na bila kusahau vumbi la kongo huko Dar kwenu ndio kwenye soko kubwa..

Hamuwezi kutomba bila ya kutumia chochote!!!
Saw nyie mshazowea kupigwa pump za baskeli
 
Kweli kabisa hebu wadada changieni mmalize huu utata wa Wana uume wa dar na Wana uume wa mikoOne......
Sitaki hata kuwasikia, mlango ukigongwa usiku wa manane anakuamsha akitetemeka, ukimuuliza nini tena anakwambia si mnasemaga "lady is first" "kawasikilize basi" hili neno hutolisikia huku nilipo, narudia Sitaki hata kuwasikia [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom