Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Sa nsemeje niambie hebu, mie Sijawahi ona mwanaume wa dar
Haujawahi kumuona mkuu!!!!

Haya huyu [emoji116] [emoji116] sema kingine
Screenshot_2017-08-30-10-57-12.png
 
mi wa mikoani nawapendea hapo tu! lile tendo raha yake unamaliza kitu yooote inauma yaan hata ndg X akikurupuka mafichoni unampa za mbavu. sio unapigwa kimoja cha mashaka unamaliza kama ndo unaanza. wapaka poda majanga
Hahahaahh
 
Duuuuu,mm nilfikir unatoa point za maana ata reason kwann mlikimbia panya road wanaune mnashinda gym,kumbe point zako ni za mambo ya papuchi,kwel wew ni wa dar,maana hata mawazo yako ni ya kidar es salaam

Mm niko dar,lkn syo mwnaume wa dar

Mwanaume husfiwa kaz na.syo ujinga ujinga

Idiology super star
 
Dar mashoga na mapunga wengi Sana mkoani adimu Sana hizo vitu

Dar vijana wengi wapangaji mkoani wengi tunamiliki

Dar wengi wanalala Nje sababu para ama nyumba hawana


Dar mvua kidogo mafuriko mara pass mtu Kafa mkoani wengi wanapumzi ndefu


Dar wanaume wengi ombaomba mkoani Sisi ni wataftaji

Wanaume WA Dar wengi wanagongewa wake zao Huku Kwetu ukijaribu umekufa
Sababu pumzi ndogo ndo mana hata mahouse boy wanamega tu


Wanaume WA Dar waoga Sana hata mlio WA pancha wanataftana mkoani Mzeeeee wanaume nguzo
Rejea pants road


Ngoja Nile Dona Maria kuku WA kienyej Hapa na kasupu Kake nipate nguv WAnaume WA Dar endelen kutafta waganga

Wanaume WA Dar wanaongoza kufoji vyet mkoani aje

Wanaume WA Dar ajira yao kubet mkoani kazi mingi
 
Back
Top Bottom