Sisi Wasukuma, ni nani aliyeturoga?

Sisi Wasukuma, ni nani aliyeturoga?

Kwa kweli sisi ni washamba sana na malimbukeni.

Sisi ndiyo tunaouza ng'ombe tukale chips kuku na wanawake.

Uchawi tumo sana, UMUGHAKA anaujua muziki wetu.

Sisi ndiyo tunapiga mapicha na mapozi ya ajabu.

Kupiga wrong number sasa.....dadad dadada dadadaaa.

Sisi ndiyo tuna kila kitu cha ajabu, licha ya kwamba Mungu ametutunuku nguvu, akili, maarifa na jitihada. Sehemu akiingia Msukuma maendeleo yanakuja.

View attachment 2405409
Huyo anaigiza ni simba tupu
 
Ungejua wanawake wanavyotupenda wasukuma..kwanza tuna nguvu za uhakika mana tunakula sana..hivyo tunapelekea moto sio mchezo.

Pili tunnafanya kazi sana kilimo..biashara n.k hivyo vijipesa vya kuhonga havikosekani natunahongaga kweli kweli hasa demu akiwa mweupe.

Tatu tuna miili mikubwa warefu siunajua mademu wanapendaga wanaume warefu na weusi..kwahiyo wanatushobokeaga wenyewe.

Yani hiiiiiiiii wewe achaga tu tunawa tafunaga...lekaga gete bhahebhu.

Wabeja sana..wasukuma ndoho tabhu.

#MaendeleoHayanaChama
Tutoleee ushamba wako hapa!!!😂😂😂
 
Kwani haiwezekani hawa wasukuma tungebadilishana hata na wasudani kusini? Yaani tunawachukua baadhi ya wasudani halafu wao tunawapea wasukuma!! Wakapigwe na njaa ili wapate akili 😂😂
Msukuma kwenye njaa hakai ataenda hata Congo porini akajifiche akate miti alime apate chakula. Sasa hivi wanavusha Ng'ombe kwenda kutafuta malisho Congo soon pori wanalojificha maimai na M23 anaenda kulimaliza 😁😁😁
 
Ungejua wanawake wanavyotupenda wasukuma..kwanza tuna nguvu za uhakika mana tunakula sana..hivyo tunapelekea moto sio mchezo.

Pili tunnafanya kazi sana kilimo..biashara n.k hivyo vijipesa vya kuhonga havikosekani natunahongaga kweli kweli hasa demu akiwa mweupe.

Tatu tuna miili mikubwa warefu siunajua mademu wanapendaga wanaume warefu na weusi..kwahiyo wanatushobokeaga wenyewe.

Yani hiiiiiiiii wewe achaga tu tunawa tafunaga...lekaga gete bhahebhu.

Wabeja sana..wasukuma ndoho tabhu.

#MaendeleoHayanaChama
Wanatutumia tu. Filisika uone wanawake watapeleka wapi huo weusi na urefu wako
 
Kumbe siku hizi mmeanza kuwa na akili.....

Hongereni sana, ila tunajuta tulivyowapa nchi kwa bahati mbaya mpaka Mwenyezi Mungu alipoamua kufanya maamuzi magumu kwa kutuonea huruma....
Nilijua tu lazima ujitokeze uje umkumbuke yule mbutuaji wako!

Wasukuma noma! Wanakupelekea moto mpaka hata akifa unashindwa kabisa kumsahahu kama hivi.

Haya maumivu yako tafuta msukuma mwingine
 
Kwa hiyo kumbe yule jamaa alikuwa anajihusisha na nanhii ya jinsia moja?
 
Kwa kweli sisi ni washamba sana na malimbukeni.

Sisi ndiyo tunaouza ng'ombe tukale chips kuku na wanawake.

Uchawi tumo sana, UMUGHAKA anaujua muziki wetu.

Sisi ndiyo tunapiga mapicha na mapozi ya ajabu.

Kupiga wrong number sasa.....dadad dadada dadadaaa.

Sisi ndiyo tuna kila kitu cha ajabu, licha ya kwamba Mungu ametutunuku nguvu, akili, maarifa na jitihada. Sehemu akiingia Msukuma maendeleo yanakuja.

View attachment 2405409
Hii lafudhi si ya kisukuma ata kidogo, ni kama muhaya au muha kama sikosei.
 
Msukuma kwenye njaa hakai ataenda hata Congo porini akajifiche akate miti alime apate chakula. Sasa hivi wanavusha Ng'ombe kwenda kutafuta malisho Congo soon pori wanalojificha maimai na M23 anaenda kulimaliza 😁😁😁
Kama wasukuma sasa wanaingia pori la Congo, basi ngosha nimewavulia kofia........ni muda tu utawasikia wameibukia misitu ya amazon 😂
 
Nilijua tu lazima ujitokeze uje umkumbuke yule mbutuaji wako!

Wasukuma noma! Wanakupelekea moto mpaka hata akifa unashindwa kabisa kumsahahu kama hivi.

Haya maumivu yako tafuta msukuma mwingine
Umeacha ushoga?
 
Kwani haiwezekani hawa wasukuma tungebadilishana hata na wasudani kusini? Yaani tunawachukua baadhi ya wasudani halafu wao tunawapea wasukuma!! Wakapigwe na njaa ili wapate akili [emoji23][emoji23]
Teh Nyani Ngabu unaonaje wazo hili?
 
Ungejua wanawake wanavyotupenda wasukuma..kwanza tuna nguvu za uhakika mana tunakula sana..hivyo tunapelekea moto sio mchezo.

Pili tunnafanya kazi sana kilimo..biashara n.k hivyo vijipesa vya kuhonga havikosekani natunahongaga kweli kweli hasa demu akiwa mweupe.

Tatu tuna miili mikubwa warefu siunajua mademu wanapendaga wanaume warefu na weusi..kwahiyo wanatushobokeaga wenyewe.

Yani hiiiiiiiii wewe achaga tu tunawa tafunaga...lekaga gete bhahebhu.

Wabeja sana..wasukuma ndoho tabhu.

#MaendeleoHayanaChama
Nujuta kutokuolewa na msukuma. Tatizo university ke ukikutana na wasukuma me wote wanakuwa kaka zako. Kaka dada. Ila wasukuma ni peace sana kwa kweli.
 
Ni hatari wao ni kukata miti na kusonga mbele na Ng'ombe zao ukiwazingua wanakupiga mkwanja wanatembea hela keshi wakiishiwa wanasogea kwenye mnada wa ng'ombe uliokaribu wanauza ngo'mbe watano wanabeba 10MIllioni😁😁 kwenye bukta zao wanasonga mbele

Back
Top Bottom