Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,568
Hii video ikionyesha wakenya wakiwa katika vita vya Ukraine na Urusi
Hizi ni akil za kinyumbu na matunda ya CCM hayaKama hii ni kweli (ingawa najua ni kweli walienda Haiti) unaona kwamba ni sifa kupeleka watu wako wakawe mercenaries kwenye kazi za hatari na kuhatarisha maisha na kushindwa kuweza kutumia nguvu kazi hio nchini mwako kwa vitu productive ?
Kabla hatujatambua Tatizo au kufahamu tatizo ni nini ni vigumu sana kutatua Shida zinazotukabili...
Sababu hamna akilHakuna fursa hapo, zaidi ya usenge tu
Duh akili kisoda hiiHakuna fursa hapo, zaidi ya usenge tu
Wako kwa ajili ya hela.Dah,
Waafrika wana maajabu,
Nchi moja inavamia nyingine mbali huko halafu unaenda kupigana vita isiyokuhusu??
Ila wanaambulia kuwahishwa kwa mabikra maana hupangiwa maeneo hatarishi.Wako kwa ajili ya hela.
sawaIla wanaambulia kuwahishwa kwa mabikra maana hupangiwa maeneo hatarishi.
Kuna wale mercenaries kutoka kwa Kiduku pia walifyekwa haraka sana
pesa haina thamani ivo unavodhan, kurisk maisha yako kisa pesa ni upumbavuDuh akili kisoda hii
Sawapesa haina thamani ivo unavodhan, kurisk maisha yako kisa pesa ni upumbavu