The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi, Kwa kuwa mama ametuheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu, kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara, tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu, ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa muda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti, anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh. Rais kusimama na Mama Samia 2025. Asante mama Kwa kutulea, miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama👇👇