The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
- Thread starter
- #41
Mimi sijikombi wala sihitaji uteuzi na Wala siko kwenye vyama.Sema na wewe umezidi kujikomba sana kwa watawala kisa unalipwa vijichenji. Mtumishi wa kitanzania si wa kujigamba maana ni hohehahe tu.
Wewe una matatizo ya akili,sisi tunamshukuru Rais Kwa namna alivyojitahidi kutujali sio swala la kujigamba..
Kwenye Hali hiyo hiyo ya kuwa hohehahe ila Samia walau katukuna sasa shida yako wewe ni nini?