Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,757
- 2,155
Rubbish
Na kweli ajisemee mwenyewe asijumlishe wote. Machungu bado yapo tuJisemee wewe!
Kama kweli we ni mtumishi wa umma. Fack you. Stupid.Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama👇👇
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Stupid mwenyeweKama kweli we ni mtumishi wa umma. Fack you. Stupid.
Haya basi tufanye hivi wako milioni 10 vs nyie watumishi wote wa umma je mtatoboa?? Mi nadhani Rais au uchaguzi unatuhitaji woteMkuu hawa 59 Million una maanisha hadi wale vichanga watapiga kura? how about minors?
Kwani mko wangapi jumla yenu? Na siyo wote wenye mawazo hayo! Hivyo mkitoa hayo mme baki wangapi?Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama👇👇
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Pole Sana, Watumishi tunakwenda na mama 👇Mama si wa kwenda na mtu yeyote 2025 mwenye akili timamu na mwenye malengo ya maisha yake!
Akili za kimasikini hizi, unajiona mjanja kumbe mjinga mmoja hivi wenzio wanaolamba asali wewe unashangilia kupandishwa darajaMoja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama👇👇
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Ulitaka ninune bwana tajiri? 😂😂😂😂Akili za kimasikini hizi, unajiona mjanja kumbe mjinga mmoja hivi wenzio wanaolamba asali wewe unashangilia kupandishwa daraja
Mwalimu mwingine wa upe huyu hapaNYIE mnaojifanya mna maakili kwa nini akili zenu hazikuwafikisha nafasi ya Urais mkaikomboa nchi kama inapotea???? mwacheni mama afanye kazi yake..mxiewww....na Msidharau walimu, bila wao msingekuwepo hapo mlipo NDEZI NYIE
Failuires wengi mnadhani mnapewa favour siyo haki zenu??Povu la nini Mzee,sisi watumishi tumekunwa na Rais hao unaosema wanalalamika ni kina nani?
Inahusikaje na kwenda na mama 2025?Failuires wengi mnadhani mnapewa favour siyo haki zenu??
Huko Chala 23.3% haijawafikia?Kama ni wale mnaopitisha MANUNUZI kama STYLE ya MSD ofcoz mtaenda na MAMA, NO OBJECTION... Siyo Mwalimu afundishaye Chala Primary School kule Ziwa Tanganyika.
Le Profesee Mutu ya PhD...Inahusikaje na kwenda na mama 2025?
Wewe msomi utaenda na nani? [emoji38][emoji38]
Kwa Hiyo na Lipumba ni failure? [emoji116]
View attachment 2231594