The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
- Thread starter
- #101
Wewe unaejiamini una sh.ngapi hapo ulipo?Mwalimu mwingine wa upe huyu hapa
Hivi nyie mbona hamjiamini
Wewe unaejiamini una sh.ngapi hapo ulipo?Mwalimu mwingine wa upe huyu hapa
Hivi nyie mbona hamjiamini
Hayo ni matumozi binafsi,bei za Dar sio sawa na bei za Kigoma 👇Tuanzie hapa:
Elf 10 ya sasa inaweza kununua bidhaa za sokoni kiasi gani na Elfu 10 baada ya miaka 2na nusu zilinunua bidhaa kiasi gani?
Sisi au wewe panyaroad.Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama👇👇
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Hahahaha ujinga ulivomkaa anafikiri kuongezwa mshahara ni bora zaidi anasahau gharama zimepanda akumbuke wimbo profesa j alieuza cheni bandia kapewa hela mbandia kalagabao mtumishi uliojaa matope badala ya ubongoSema nyinyi walimu ndio mtaenda na mama 2025 usiseme watumishi wote wa umma.
Mkishapewa t-shirt na ubwabwa akili zinawaruka
Sisi watumishi wa Umma tutakuwa bega kwa bega na Mama pamoja na waliotumbuliwa na Dhalimu 👇Sisi au wewe panyaroad.
Wewe ni mtumishi?Hahahaha ujinga ulivomkaa anafikiri kuongezwa mshahara ni bora zaidi anasahau gharama zimepanda akumbuke wimbo profesa j alieuza cheni bandia kapewa hela mbandia kalagabao mtumishi uliojaa matope badala ya ubongo
We jamaa unadanganywa na pipi unafurahi sana. Watu wanaishi kwenye viyoyozi lakini hawaropoki ila wewe mgambo wa jiji ndo unakalia kupiga kelele.
Wajinga wengi wako huko ndo maanaIla Wabongo mna mihemko ya kipekee sana! Yaani mtu from nowhere anakuja na uzi wake wa "sisi watumishi wa umma...."
Huku akiwa hana orodha, au idadi yoyote ile ya hao watumishi wa umma watakao kwenda na huyu mama huyo 2025! Akiwa hana ushahidi wowote ule kama na yeye ni sehemu ya hao watumishi wa umma!
Nyinyi mnakurupuka na maneno yenu ya kejeli, matusi, dharau! Huku mkiwashambulia walimu! Sijui wamewakosea nini!
Dah! Nchi ngumu sana hii.
Yani wanasikitisha mno.Sema nyinyi walimu ndio mtaenda na mama 2025 usiseme watumishi wote wa umma.
Mkishapewa t-shirt na ubwabwa akili zinawaruka
Kwa nini ukimuongelea Raisi wa sasa ni lazima uunganishe story yako na hayati JPM?Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116][emoji116]
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Walikuwa pamojaKwa nini ukimuongelea Raisi wa sasa ni lazima uunganishe story yako na hayati JPM?
Watu wote hawawezi kuna ma Rais.NYIE mnaojifanya mna maakili kwa nini akili zenu hazikuwafikisha nafasi ya Urais mkaikomboa nchi kama inapotea???? mwacheni mama afanye kazi yake..mxiewww....na Msidharau walimu, bila wao msingekuwepo hapo mlipo NDEZI NYIE
Wewe ndiyo product halisi ya waalimu failure na uvCCM.Hebu soma tena ulichoandika,hapo umempigia promo Mama au umemharibia?NYIE mnaojifanya mna maakili kwa nini akili zenu hazikuwafikisha nafasi ya Urais mkaikomboa nchi kama inapotea???? mwacheni mama afanye kazi yake..mxiewww....na Msidharau walimu, bila wao msingekuwepo hapo mlipo NDEZI NYIE
Sasa hayupo. mbona unamtaja ukimsifia Raisi wa sasa?Walikuwa pamoja
Kwani yeye nani asitajwe?Sasa hayupo. mbona unamtaja ukimsifia Raisi wa sasa?
Hayo ni matumozi binafsi,bei za Dar sio sawa na bei za Kigoma 👇
Kweli wewe ni cheti FAKE!