The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
- Thread starter
- #121
Ndio hivyo vyeti feki wote tunaenda na mama,nyie mko na watu gani?Kweli wewe ni cheti FAKE!
Ndio hivyo vyeti feki wote tunaenda na mama,nyie mko na watu gani?Kweli wewe ni cheti FAKE!
unaweza ukanitajia fani ambayo Haina div 4? Mfano madaktari wengi wamepita diploma ambapo form 6 walipata div 4...pia mainjinia hivyo hivyo tena wao Wana vyuo vya kati ambapo wanachukua vijana wenye div 4 za form 4...Hali ni hio hio kwa fani karibia zote...!!Hayo mengi ni mataahira usiyatilie maanani.
Wengi ni failures, kila kitu wao wakipewa wanaona hisani. Wanaona wamependelewa maana hawakustahili na division four zao.
Cheti fake ovyo kabisa!, hata HESABU ni ziro kabisa!Ndio hivyo vyeti feki wote tunaenda na mama,nyie mko na watu gani?
Ndio hivyo yaani tunaenda na mama hata Prof Lipumba analijua hili na amewashauri 👇Cheti fake ovyo kabisa!, hata HESABU ni ziro kabisa!
Acha ku-copy na ku-pest!, ukileta point itetee, sio unakimbilia kukwepa madaNdio hivyo yaani tunaenda na mama hata Prof Lipumba analijua hili na amewashauri 👇
View attachment 2232170
Tumia nafsi yako tuMoja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.
Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..
Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..
Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.
Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116][emoji116]
View attachment 2212111
View attachment 2212112
View attachment 2212113
Mtu wa hayati JPM na machungu yake.Hana Uhalali kusimama Kugombea Uchaguzi 2025. Huu Mwaka patachimbika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yule alikuwa fakeMagufuli aliwaza nn katika eneo LA watumishi
Nafsi yangu hii hii neema ya kuoandishwa madaraja 👇Tumia nafsi yako tu
Naona kwenu hakuna wakubwa wewe kijanaSema nyinyi walimu ndio mtaenda na mama 2025 usiseme watumishi wote wa umma.
Mkishapewa t-shirt na ubwabwa akili zinawaruka
Kwa lugha rahisi tunasema mgonjwa aliyeungua moto mwli mzima kupewa panaldo 4The Sunk Cost Fallacy wewe unatamani kuona Rais anatukanwa kwenye mitandao?
Kama unampenda tulia usilete chuki zaidi.
Umepunguziwa kodi kwa 1% lakini bei zimepanda kwa 100% ndio nini hiyo sasa.
Hii panado itampa nafuuKwa lugha rahisi tunasema mgonjwa aliyeungua moto mwli mzima kupewa panaldo 4
Watu wameshapandishwa kwa msererekoMserereko hakuna.
Kwani huyo bwana wako magufuli alishinda uchaguzi sï aliiba tu uchaguzi na hiyo c ndo desturi yao basi hata 2025 ndo hayo hayo.Kauli yako hii itamponza mwenzio kwahiyo ina maana kura za watu wengine hazihitaji?? Nyie watumishi wa umma msiofika hata milioni moja na kidogo dhidi ya milioni 59?? Hujiulizi sekta binafsi? Umesahau hasira za walionyimwa fao la kujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii? Wamachinga mnao wafukuza kila leo? Bodabda mnaowapandishia petrol kila asubuhi kwa maendeleo ya petrol station zenu? Wasio na ajira?? Hizi ni baadhi tu ya kura za hapana. Tukutane 2025
Kufanya huko kuzuri ni kupi mkuu,??Nimetukana mimi au wewe, huna hoja umebaki kutukana kama mimi mbwa wewe kuku unaliwa kitoweyo, nyinyi wabongo mnaumwa sana mzanzibari kuwa rais wa muungano na wakati huo huo anafanya vizuri kuliko hao machogo waliomtangulia mtaumwa sana na nnakuhakikishia hata samia akimaliza 2030,mzsnzibari mwengine kutoka hiyo hiyo ccm ata chukuwa nafasi yake.
Una nyege ww fala yan ww nani wa kupangia watu maisha nchi hii?? Amani hii isikufanye ukawashwa kila wakati utakunwa bila mateNimetukana mimi au wewe, huna hoja umebaki kutukana kama mimi mbwa wewe kuku unaliwa kitoweyo, nyinyi wabongo mnaumwa sana mzanzibari kuwa rais wa muungano na wakati huo huo anafanya vizuri kuliko hao machogo waliomtangulia mtaumwa sana na nnakuhakikishia hata samia akimaliza 2030,mzsnzibari mwengine kutoka hiyo hiyo ccm ata chukuwa nafasi yake.