Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

Sisi watumishi wa umma tutasimama na mama 2025

Yaan nyie uvccm nenda kachukue book 7 tayari. Na tatzo hili jukwaa hamna watu wenye akili ya propaganda. Halafu niwaulize swali hivi mtu akishakua ccm akili zenu halisi mnapelekaga wapi

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi sio uvccm ni mtumishi wa Umma niliyenufaika na sera za mama,sasa hutaki nifurahie au? Acha wivu pambana na Hali yako.
 
Moja kwa moja kwenye mada..

Watumishi wa Umma tunasema hivi,Kwa kuwa mama ameruheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu,kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara,tutasimama na mama 2025 na kuonyesha mshikamano wetu.

Sio hayo tuu bali ametufutia Kodi ya kitapeli ya retention fees alioiweka yule mtesi wetu,ameimarisha bima ya Afya na kuongeza Umri wa wategemezi na kikubwa ametoa ajira nyingi kwa mda mfupi..

Kana kwamba haitoshi mama ameendelea kutulea kwa kulipa mafao kwa watu walioitumikia Nchi hii kabla ya kufukuzwa kwa visingizio vya vyeti,anatulipa mafao walau kwa wakati na mwisho atakuja na Suluhu nzuri ya kikokotoo..

Kwa hayo lazima tulipe fadhila na tutaonyesha mshikamano wetu kwa mh.Rais kusimama na Mama Samia 2025.Asante mama Kwa kutulea,miaka 6 Tulikuwa tunateseka na kudharauliwa.

Mwenye macho haambiwi tazama[emoji116][emoji116]

View attachment 2212111

View attachment 2212112

View attachment 2212113
Sema wewe utasimama sio sisi

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hayo malimbikizo watakuwa wamelipwa watumishi wa umma wenye kadi za CCM labda.

Kushangilia matamko na ahadi za wanasiasa ni uzwazwa tu.

Kawe wanasubiria kupelekwa Birmingham na mbunge wao Gwajima!😁
 
Mama anaupiga mwingi kwa wafanyakazi wa serikali hadi raha sio mwendazake alitudharau sana kila zama na watu wake mama oyee
 
Hayo malimbikizo watakuwa wamelipwa watumishi wa umma wenye kadi za CCM labda.

Kushangilia matamko na ahadi za wanasiasa ni uzwazwa tu.

Kawe wanasubiria kupelekwa Birmingham na mbunge wao Gwajima!😁
Wewe ni mtumishi? Kwani malimbikizo wanagawa? Wanalipwa wenye kudai..

Pili una mda gani kazini? Hujapanda daraja? Hukuona watumishi walivyomtetea Waziri Mchengerwa?

Naishia hapo kwanza unless una chuki binafsi au sio mtumishi wa Umma.
 
Sema nyinyi walimu ndio mtaenda na mama 2025 usiseme watumishi wote wa umma.
Mkishapewa t-shirt na ubwabwa akili zinawaruka
Mwanasiasa akisikia WANANCHI wamepewa HAKI ZAO Anakasirika BALAA.



Maana yeye anatamani WATU WAENDELEE KUTESEKA ili aendelee kutumia MATATIZO yao Kama AGENDA ya KUOMBEA KURA.
 
The Sunk Cost Fallacy wewe unatamani kuona Rais anatukanwa kwenye mitandao?

Kama unampenda tulia usilete chuki zaidi.

Umepunguziwa kodi kwa 1% lakini bei zimepanda kwa 100% ndio nini hiyo sasa.
 
The Sunk Cost Fallacy wewe unatamani kuona Rais anatukanwa kwenye mitandao?

Kama unampenda tulia usilete chuki zaidi.

Umepunguziwa kodi kwa 1% lakini bei zimepanda kwa 100% ndio nini hiyo sasa.
Mkuu wewe ukitaka kutukana ni ruksa hata yeye juzi alisema ana ngozi ngumu.Yaani tusiongee aliyofanya Rais Kisa kuna wapuuzi wachache wasiowajibika eti watamtukana?

Ukiogopa kusemwa hakuna kitu cha maana utafanya kwenye maisha..

Rais alishachukua hatua ila mazingira ni beyond control yake..
 
Hayo mengi ni mataahira usiyatilie maanani.

Wengi ni failures, kila kitu wao wakipewa wanaona hisani. Wanaona wamependelewa maana hawakustahili na division four zao.
Unaowatusi wengine wanakuzidi ufaulu, ninyi mlokuwa mnahangaika kutafta ufaulu mzuri ndo baadae mnakuwa waropokaji sana. Unamaanisha wewe ufaulu wako unawazidi walimu wote?
 
Stupid Leaders now showing out their true colors. Workers have got no sound mind representatives. I wonder how they allow their meagre salary to be deducted for these useless suckers in the name of Union Leaders.
 
Mkuu wewe ukitaka kutukana ni ruksa hata yeye juzi alisema ana ngozi ngumu.Yaani tusiongee aliyofanya Rais Kisa kuna wapuuzi wachache wasiowajibika eti watamtukana?

Ukiogopa kusemwa hakuna kitu cha maana utafanya kwenye maisha..

Rais alishachukua hatua ila mazingira ni beyond control yake..
Mliokuwa hamtarajii kuwa na fursa serikalini kwa upepo tu mkaipata basi mnapraise kila kitu.
 
Back
Top Bottom